BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
BJ walikuwa na so many opportunities ya kufika mbali zaidi ya walipofika lakini uzembe na maamuzi yasiyo na busara yametucost Waafrika wote.
hivi kama mimi najisikia hivi vipi wachezaji wa Ghana kama Asamoah?!..ushabiki ni noma..angalau mechi ya jioni nilifurahi vinginevyo ningekuwa na dripu..nitameza hizo piriton nilale unono vinginevyo nitakesha nasikitika tu!
Nimetex tu kuwa 'outing cancelled'..nasubiria vagi lake kesho mana atavuvuzela mpaka nikome au tuchuniane wiki kisa Ghana..mie hasira zangu kesho namalizia shopping till I drop..
Wachezaji wazushi wana roho ngumu kinoma,wao wanachukulia kama ajali kazini hile.si umeona kaenda kupiga penati nyingine bila wasi wasi.
au kama unakumbuka yule mshabiki wa Arsenal kenya aliyejiua wakati Bendtner ambaye alicheza uwanjani kaenda club kula starehe.
Hehehehehe zee la vuvu litavuvuzela kesho mpaka BJ akome lol!
Haya kila la heri, kama naye alikuwa anashabikia Ghana angalia asimalizie hasira zake kwako.
Haya kila la heri, kama naye alikuwa anashabikia Ghana angalia asimalizie hasira zake kwako.
yule mkenya nina huakika alichanganya na stress za maisha haiwezekani ikawa ushabiki tu.Naona soccer kwa wengine ni zaidi ya ushabiki..ila ile kesi ya jamaa kujiua kenya ilinisikitisha,sitaki kuwa mtumwa wa kushabikia hivyo!..bora tumejaliwa kitu kusahau hata kama siyo kusahau milele angalau siku ziendavyo tukio linakuwa haliumi kama siku iliyotokea..
Usinywe dawa mseto bure mana siyo za maumivu..pata panadol,ulale vizuri ukishindwa angalia marudio ya mechi ya Ghana,ha ha si utalia mtu mzima..
Huyu- Mbrazil ana hasira zake za mechi waliyoshindwa..Namuombea aamke bila hasira mana itakuwa WC ndo imetuachanisha..
Unaweza ku-edit hiyo kwenye red? mana nina uhakika 100% haiwezekani..lol
This is unfair, FIFA wanatakiwa kuweka sheria kuwa kitu maka hiki kwenye picha kikifanyika ni Goal straight au penalty inapiwa bila kuwepo na kipa golini yaani "Penalty goal" kama na kumpiga red card aliyefanya: Inauma sana, tena sanaaa
Nafikiri hii itamuathiri sana and Ghana will never have the Opportunity like this in the near future. Nafikiri FIFA wanatakiwa kubadilisha sheria iwe deliberate ball hand which was going in should be a send off and a goal awarded to the other team. No need for penalty