World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

BJ walikuwa na so many opportunities ya kufika mbali zaidi ya walipofika lakini uzembe na maamuzi yasiyo na busara yametucost Waafrika wote.

I know BAK, naamini watajifunza kutokana na makosa..It's time to move on japo ni kovu ambalo hawatasahau!..Nimempenda Prince-Boateng zaidi ya kisoka(msiniulize kivipi)..tatooz!!
Anyway!..This is World cup with full of surprises.....and I like it!!
 
hivi kama mimi najisikia hivi vipi wachezaji wa Ghana kama Asamoah?!..ushabiki ni noma..angalau mechi ya jioni nilifurahi vinginevyo ningekuwa na dripu..nitameza hizo piriton nilale unono vinginevyo nitakesha nasikitika tu!

Wachezaji wazushi wana roho ngumu kinoma,wao wanachukulia kama ajali kazini hile.si umeona kaenda kupiga penati nyingine bila wasi wasi.

au kama unakumbuka yule mshabiki wa Arsenal kenya aliyejiua wakati Bendtner ambaye alicheza uwanjani kaenda club kula starehe.
 
Mie nameza vidonge viwili tu vya kutoa maumivu ya kichwa manake kichwa kinauma kwa mawazo tu hapa kutokana na game lilivyo malizika.
 
Nimetex tu kuwa 'outing cancelled'..nasubiria vagi lake kesho mana atavuvuzela mpaka nikome au tuchuniane wiki kisa Ghana..mie hasira zangu kesho namalizia shopping till I drop..

Hehehehehe zee la vuvu litavuvuzela kesho mpaka BJ akome lol!
 
Wachezaji wazushi wana roho ngumu kinoma,wao wanachukulia kama ajali kazini hile.si umeona kaenda kupiga penati nyingine bila wasi wasi.

au kama unakumbuka yule mshabiki wa Arsenal kenya aliyejiua wakati Bendtner ambaye alicheza uwanjani kaenda club kula starehe.

Naona soccer kwa wengine ni zaidi ya ushabiki..ila ile kesi ya jamaa kujiua kenya ilinisikitisha,sitaki kuwa mtumwa wa kushabikia hivyo!..bora tumejaliwa kitu kusahau hata kama siyo kusahau milele angalau siku ziendavyo tukio linakuwa haliumi kama siku iliyotokea..
Usinywe dawa mseto bure mana siyo za maumivu..pata panadol,ulale vizuri ukishindwa angalia marudio ya mechi ya Ghana,ha ha si utalia mtu mzima..
 
......Tusimlaumu sana Gyan, michezo ndivyo ilivyo.......mmesahau jinsi Brazil ilivyojifunga yenyewe? Michezo haitabiriki wapendwa unaweza kupata na kukosa. Good job Ghana hata kwa kuonja hiyo robo finali........ila inaumaaaaaaaaaaa!!!
 
Kidogo basi, nitazuga na am sorry za kumwaga mana namjulia atanielewa..kazi ninayo!!

Haya kila la heri, kama naye alikuwa anashabikia Ghana angalia asimalizie hasira zake kwako.
 
Naona soccer kwa wengine ni zaidi ya ushabiki..ila ile kesi ya jamaa kujiua kenya ilinisikitisha,sitaki kuwa mtumwa wa kushabikia hivyo!..bora tumejaliwa kitu kusahau hata kama siyo kusahau milele angalau siku ziendavyo tukio linakuwa haliumi kama siku iliyotokea..
Usinywe dawa mseto bure mana siyo za maumivu..pata panadol,ulale vizuri ukishindwa angalia marudio ya mechi ya Ghana,ha ha si utalia mtu mzima..
yule mkenya nina huakika alichanganya na stress za maisha haiwezekani ikawa ushabiki tu.
 
Huyu- Mbrazil ana hasira zake za mechi waliyoshindwa..Namuombea aamke bila hasira mana itakuwa WC ndo imetuachanisha..

Haya mambo ya upenzi wa michezo huweza hata kuharibu mahusiano ya kimapenzi kati ya mke/mume au bf/gf kazi kweli kweli!
 
Kwa atakayeshindwa kulala naomba anijulishe nimwombee ktk sala/dua zangu usiku wa leo!!..vinginevyo nawatakia wote muda mzuri popote mlipo kwenye sayari hii!!..Mpira umeisha,tugange yajayo!!
 
OKAY tumeshindwa, lakini lets looka at the poositives. at least this have proved that pan africanism is alive, every african was supporting ghana.Tufanya nini sasa?

Lets concentrate on local teams and players!
 
This is unfair, FIFA wanatakiwa kuweka sheria kuwa kitu maka hiki kwenye picha kikifanyika ni Goal straight au penalty inapiwa bila kuwepo na kipa golini yaani "Penalty goal" kama na kumpiga red card aliyefanya: Inauma sana, tena sanaaa

57349B1E89C35A7FCD2E492F7BCDC.jpg
 
huyu ndiye aliyetuua halafu huko kwao anaonekana hero, FIFA wampige hata ban ya mechi 10 basi.
 
Nafikiri hii itamuathiri sana and Ghana will never have the Opportunity like this in the near future. Nafikiri FIFA wanatakiwa kubadilisha sheria iwe deliberate ball hand which was going in should be a send off and a goal awarded to the other team. No need for penalty

Nd'o hapo ninapopenda basketball...hio ni goal tend...bao.....No penalty wala nini.
 
Huyo si aliye tuua waliotuua na wale wapiga penati wa tatu na nne wa Ghana,huwezi piga penati ya kichovu vile WORLDCUP,wacha waende Accra wakajifunze penati wameniuzi kama nini nilikuwa sijala na njaa imepotea.
 
Back
Top Bottom