huyu ndiye aliyetuua halafu huko kwao anaonekana hero, FIFA wampige hata ban ya mechi 10 basi.
Well, lets get ready for 2014!
Mkuu hata akatwe miguu asicheze tena mpira haitasaidia, Hii game ilikuwa ya Ghana kushinda, nafikiri hii itakuwa world cup itakayokumbukwa sana ukiacha ile ya 1986 ya "hand of god goal la maradona", ukianza na England V Germany then ukija na hii ya Ghana kutolewa kwa penalty. Ghana walipokosa penalty ya muda wa mchezo nikajua watakosa nyingi wakati wa penalty. I wish ile Gyan aliyofunga wakati wa penalty ingekuwa ni ya muda wa mchezo. Anyway lets move forward, najuuuutaaaaa kuwa shabiki wa Timu za Africa na Brazil Lol!
mkuu tukubali tumetolewa na pia imeonyesha tena kwamba waafrika tunakosa creativity.... kuna wakati jamaa walikua wanabaki watatu na defender mmoja lakini wanashindwa kumalizia, maana kila mmoja was looking for individual gloryGhana kufungwa jana walitaka ebu niambieni uyooo mpigaji wa ile penalty alikua ana araka gani jamani,kwa sbb akujiandaa wa2 waligilia ghana kupata penalty mpigaji kabla ata ajaruusiwa tayari kessha piga na kakosa,wenzetu ulaya awafanyi ivyo,ingekua ni COLOMBIA yule mpigaji wa ile penalty asingerudi kwao wangemshootilia mbali uko
huyo labda alikumbuka earth quake disaster
Pole sana kwa kweli inaudhi sana, hii mechi ilistahili tushinde kabisa lakini kutokana na uzembe wa hali ya juu ulioonyeshwa na baadhi ya wachezaji, Afrika haina timu iliyobaki kwenye WC.
hehehe mkuu hii kujiuwa unaita uzalendo? bora nisiwe mzalendo maisha!mbona sisi tunachapwa kila siku na hakuna anaejitolea mhanga kwa kufa.....zaidi tunarukia uwanjani tukitamani kugusana na waliotufunga?????????
Labda tutaanza kuwa wazalendo mwakani......