huyu ndiye aliyetuua halafu huko kwao anaonekana hero, FIFA wampige hata ban ya mechi 10 basi.
Mkuu hata akatwe miguu asicheze tena mpira haitasaidia, Hii game ilikuwa ya Ghana kushinda, nafikiri hii itakuwa world cup itakayokumbukwa sana ukiacha ile ya 1986 ya "hand of god goal la maradona", ukianza na England V Germany then ukija na hii ya Ghana kutolewa kwa penalty. Ghana walipokosa penalty ya muda wa mchezo nikajua watakosa nyingi wakati wa penalty. I wish ile Gyan aliyofunga wakati wa penalty ingekuwa ni ya muda wa mchezo. Anyway lets move forward, najuuuutaaaaa kuwa shabiki wa Timu za Africa na Brazil Lol!