World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

1.inawezekana kabisa,mpira hauchezwi uwanjani tu.
2.ingekuwa yanga na simba halafu mchezaji acheze vile tungesemaje?.......kauza timu na bakora ni must.
3.hata hivyo nilichoona mimi ni kuwa wachezaji walikata tamaa kabisa baada ya kuzuiwa kwa mkono goli lao,kila mtu aliishiwa nguvu na wenye hasira nao wakawa bado zimejaa kifuani,halafu unaambiwa upige penati kwa vyovyote utakosa tu.
 
huyo si aliye tuua waliotuua na wale wapiga penati wa tatu na nne wa ghana,huwezi piga penati ya kichovu vile worldcup,wacha waende accra wakajifunze penati wameniuzi kama nini nilikuwa sijala na njaa imepotea.
pole sana,walishakatishwa tamaa kabisa kwa goli lao kudakwa na yule mrugway muhuni, kama ndio mipira ya mchangani ni ngumi au mpira unawekwa kwapani hakuna kuendelae..unaendelea na nini watu wanacheza netball?
 
Just as I am thinking about starting the thread, Muller scores!

Tuko pamoja nawe mchungaji japo si kwa saana!. Sasa hivi tunafikiria KUPETITION FIFA wabadilishe sheria juu ya mchezaji wa ndani anapodaka mpira kama golikipa (the Suarez gate). Hii kitu ni muhimu kuliko hata habari ya ku-adopt goal line technologies (i.e., hawk eye).
 
Mechi bado ime balance it can go either way but will stick with Germany
 
leo officially nimehamia german until farther notice..................
 

mkuu unataka sheria ya "goaltending" nini kama kwenye basketball?lol yule Suarez nime mmind sana.
 
Mimi nilisema huko nyuma kwamba leo Wajerumani wanawaondoa Waargentina na kutupunguzia adha ya kuona nyeti za Maradona, maana naamini mshindi wa mechi ya leo ana nafasi kubwa ya kuutwaa ubingwa kuliko timu nyingine yoyote kati ya zilizobaki.
 
mkuu unataka sheria ya "goaltending" nini kama kwenye basketball?lol yule Suarez nime mmind sana.

Mkuu, yaani hii kitu ni muhimu kuliko goal-line techies., kama umefuatilia utakua umeona kuwa WC hii wachezaji wengi wa ndani wamekuwa wanadaka mipira inayoelekea NYAVUNI kama MAFISADI vile... kwakweli kadi nyekundu na penati haitoshi maana siku hizi penati haziaminiki tena!.

Inatakiwa FIFA wabadilishe sheria kama mtu akidaka mpira unaoelekea NYAVUNI inabidi goli lihesabike na kama mtu akishika mpira ambao hauelekei NYAVUNI lakini ni ndani ya kumi na-nane basi ndio iwe penati.

Suarez ameweka precedent (unajua kule kwao yeye ndio hero wa mechi ya jana!) na kama hii kitu haitafanyiwa kazi basi tusilaumiane mbeleni pale mataifa makubwa yatakapoathirika!
 
Kumtomsahau sio kwa kukosa penati haitomsahau gyan na na vijana wa ghana kuonyesha uzalendo na kucheza kwa moyo na nguvu zaidi kwa nchi yao nadhani kuliko ata kwenye timu zao.

Kama ni kutosahau madudu basi afrika inatakiwa isimsahu yule jamaa wa nigeria aliyechaza faulo nje ya uwanja na kupewa red card kwenye mechi ya ugiriki kitu kilichoi cost Nigeri kutolewa mapema . Ndio uonaona otheri side the so called wachezaji wazuri kukosa uzalendo na wachezaji wa kawaida kuwa wazalendo. Who is better ungekuwa kocha.?
 
yes....yes...yes.....sijaona MARADONA alichofundisha hii timu......wanapewa wanachostahili leo......
 
Argentina hawawawezi hawa Walugaluga~timu yao imekamilika katika kila idara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…