Ujerumani imepoteza nafasi baada ya kutolewa na Spain.
Pweza mwenye uwezo wa kutabiri, ambaye alikuwa akitabiri kwa hakika asilimia mia moja, je ataendelea na kazi yake au ndio naye kibarua chake kisha ingia nyasi?
Sasa tutaona mechi nzuri ya vijana ambao wote wanalilia kutwaa kombe kwa mara ya kwanza.
Nami ndio maana nawatakia Holland ushindi kwa sababu walitusaidia kuwashughulikia maadui zetu wakuu Uruguay.Game itakuwa nzuri ila ntashukuru kama UGERMAN atamtwanga URUgauy hawa ni wabaya wa AFRIKA
Alitabiri Ujerumani atafungwa na ndiyo ilivyo tokea...sijui Kiranja Mkuu aliimanisha nini "kibarua chake kisha ingia nyasi?"kwni mechi ya jana alitabiri vipi?
Mimi sitaki tena presha atakae cheza vizuri ndiyo nitamshangilia maana nilikuwa na sapoti timu za Afrika zote zimetolea nikaenda Brazil ikatolewa, Ujerumani nayo imetolewa sasa acha nishabikie timu inayoshinda....Nami ndio maana nawatakia Holland ushindi kwa sababu walitusaidia kuwashughulikia maadui zetu wakuu Uruguay.
Ujerumani imepoteza nafasi baada ya kutolewa na Spain.
Pweza mwenye uwezo wa kutabiri, ambaye alikuwa akitabiri kwa hakika asilimia mia moja, je ataendelea na kazi yake au ndio naye kibarua chake kisha ingia nyasi?
Sasa tutaona mechi nzuri ya vijana ambao wote wanalilia kutwaa kombe kwa mara ya kwanza.
Mkuu Afrika bado kutolewa;Mimi sitaki tena presha atakae cheza vizuri ndiyo nitamshangilia maana nilikuwa na sapoti timu za Afrika zote zimetolea nikaenda Brazil ikatolewa, Ujerumani nayo imetolewa sasa acha nishabikie timu inayoshinda....
Mkuu Afrika bado kutolewa;
Uholanzi ni Afrika yetu kwa sasa. Go Holland GOOOO!
Kwa kuwafunga Uruguay, waholanzi wamepewa uraia wa Afrika tena wa kudumu!!Naomba unieleweshe kivipi Holland iwe Afrika...Nilienda Brazil Nikijua wale ni ndugu zetu kihistoria (Watumwa) sasa waholanzi inakuwaje!?
Naomba unieleweshe kivipi Holland iwe Afrika...Nilienda Brazil Nikijua wale ni ndugu zetu kihistoria (Watumwa) sasa waholanzi inakuwaje!?
Ivory Coast = Cote de Voir?By the way, ni Holland, Uholanzi au Netherlands?? Naomba kufahamishwa ni kwanini majina yote hayo wakati "nji" ni hiyo hiyo??
Bora Uruguay washinde. wajerumani waliwatesa sana babu zetu.:A S tongue:Game itakuwa nzuri ila ntashukuru kama UGERMAN atamtwanga URUgauy hawa ni wabaya wa AFRIKA
Bora Uruguay washinde. wajerumani waliwatesa sana babu zetu.:A S tongue:
Holland is a name in common usage given to a region in the western part of the Netherlands. Moreover, the term Holland is frequently used to refer to the whole of the Netherlands. This usage is unofficial and while generally accepted, it has caused a number of people from the Netherlands to complainBy the way, ni Holland, Uholanzi au Netherlands?? Naomba kufahamishwa ni kwanini majina yote hayo wakati "nji" ni hiyo hiyo??
Ni kweli lakini babu zetu ndo walibeba vyuma mpaka wakafa:A S tongue: kwahiyo hiyo reli ilijengwa na babu zetu wenyewe kwa nguvu zao!Lakini ndo walotujengea reli ya Kati ambayo kwa sasa inamilikiwa na magabachori!