vivian
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,749
- 1,000
Ujerumani imepoteza nafasi baada ya kutolewa na Spain.
Pweza mwenye uwezo wa kutabiri, ambaye alikuwa akitabiri kwa hakika asilimia mia moja, je ataendelea na kazi yake au ndio naye kibarua chake kisha ingia nyasi?
Sasa tutaona mechi nzuri ya vijana ambao wote wanalilia kutwaa kombe kwa mara ya kwanza.
kwni mechi ya jana alitabiri vipi?
