World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Ujerumani imepoteza nafasi baada ya kutolewa na Spain.
Pweza mwenye uwezo wa kutabiri, ambaye alikuwa akitabiri kwa hakika asilimia mia moja, je ataendelea na kazi yake au ndio naye kibarua chake kisha ingia nyasi?
Sasa tutaona mechi nzuri ya vijana ambao wote wanalilia kutwaa kombe kwa mara ya kwanza.

kwni mechi ya jana alitabiri vipi?
 
Game itakuwa nzuri ila ntashukuru kama UGERMAN atamtwanga URUgauy hawa ni wabaya wa AFRIKA
 
Nami ndio maana nawatakia Holland ushindi kwa sababu walitusaidia kuwashughulikia maadui zetu wakuu Uruguay.
 
Mimi sitaki tena presha atakae cheza vizuri ndiyo nitamshangilia maana nilikuwa na sapoti timu za Afrika zote zimetolea nikaenda Brazil ikatolewa, Ujerumani nayo imetolewa sasa acha nishabikie timu inayoshinda....
 
Ujerumani imepoteza nafasi baada ya kutolewa na Spain.
Pweza mwenye uwezo wa kutabiri, ambaye alikuwa akitabiri kwa hakika asilimia mia moja, je ataendelea na kazi yake au ndio naye kibarua chake kisha ingia nyasi?
Sasa tutaona mechi nzuri ya vijana ambao wote wanalilia kutwaa kombe kwa mara ya kwanza.

Mzee Kiranja pweza Paul huyu hapa

Mimi sitaki tena presha atakae cheza vizuri ndiyo nitamshangilia maana nilikuwa na sapoti timu za Afrika zote zimetolea nikaenda Brazil ikatolewa, Ujerumani nayo imetolewa sasa acha nishabikie timu inayoshinda....
Mkuu Afrika bado kutolewa;

Uholanzi ni Afrika yetu kwa sasa. Go Holland GOOOO!
 
sijui ni mimi tu lakini naona kama world cup hii vipaji vilivyojitokeza vilikuwa vidogo ..................yaani hakuna wachezaji walo shine kupita wenzao.

average ilikuwa kubwa
 
Mkuu Afrika bado kutolewa;

Uholanzi ni Afrika yetu kwa sasa. Go Holland GOOOO!

Naomba unieleweshe kivipi Holland iwe Afrika...Nilienda Brazil Nikijua wale ni ndugu zetu kihistoria (Watumwa) sasa waholanzi inakuwaje!?
 
Kwa kuwafunga Uruguay, waholanzi wamepewa uraia wa Afrika tena wa kudumu!!
 
By the way, ni Holland, Uholanzi au Netherlands?? Naomba kufahamishwa ni kwanini majina yote hayo wakati "nji" ni hiyo hiyo??
 
Holland is a name in common usage given to a region in the western part of the Netherlands. Moreover, the term Holland is frequently used to refer to the whole of the Netherlands. This usage is unofficial and while generally accepted, it has caused a number of people from the Netherlands to complain

Netherlands (english) and in dutch its called Nederland:A S tongue:
 
Lakini ndo walotujengea reli ya Kati ambayo kwa sasa inamilikiwa na magabachori!
Ni kweli lakini babu zetu ndo walibeba vyuma mpaka wakafa:A S tongue: kwahiyo hiyo reli ilijengwa na babu zetu wenyewe kwa nguvu zao!
 
Back
Top Bottom