Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
mkuu hata Algeria sio wabaya hili kundi kunaweza kutoa maajabu tusubiri tuone.hawa wote wanauwezo wakuwapa draw uingereza na usa kama wakiwakazia.Hawa Slovenia huwa ni wazuri, siyo timu ya kuidharau. Mimi nawapa nafasi ya kuingia round ya pili na Marekani au England. Mmoja wa hawa mabwana vita itabidi arudi tu nyumbani.
wazembe wazembe flani hawa ,wao wanajua kumkazia Egypt tu.Mhh..Algeria bana sidhani kama wana backbone...tusubiri tuone lakini.
tusijidanganye algeria,slovenia hamna kitu,15mins hakuna chochote,very poor game from 2 cr*p teams..................
kundi hili media ya England walilipa jina la EASY,
England
Algeria
Slovenia
Yanks
matokeo yake sasa wanaona kwamba kazi bado kutokana na makosa ya kipa wao "muharami mohamed" lol.
umewastukiajamaa wamefanana kila kitu,wamenipa njaaa tu hapa.mpaka goli likiingia labdampira ndio utachangamka.
Sidhani kama wako mbali sana na ukweli....wamepata upinzani kutoka USA kama walivyotegemea,na hawa Algeria na Sloveni ni EASY kweli
SIjaona kama wanazo mbinu kwa kweli. Hawawezi hata kukamilisha pasi tatu mfululizo kwenye midfield.wazembe wazembe flani hawa ,wao wanajua kumkazia Egypt tu.
tatizo la England wakikaziwa kwenye defence ngoma yao inakuwa ngumu sana.huwa wana struggle na timu za ajabu ajabu.
Ya kweli timu zote mbili hazina viwango.tusijidanganye algeria,slovenia hamna kitu,15mins hakuna chochote,very poor game from 2 cr*p teams..................
tusubiri Ghana vs Serbia hawa jamaa wanatupotezea mda.mpira umepooza utasema sio world cup.SIjaona kama wanazo mbinu kwa kweli. Hawawezi hata kukamilisha pasi tatu mfululizo kwenye midfield.
Aghhhh golikipa katuuwa, sio mbaya sana lakini
Hamna passion wala viwango