World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Hawa Slovenia huwa ni wazuri, siyo timu ya kuidharau. Mimi nawapa nafasi ya kuingia round ya pili na Marekani au England. Mmoja wa hawa mabwana vita itabidi arudi tu nyumbani.
mkuu hata Algeria sio wabaya hili kundi kunaweza kutoa maajabu tusubiri tuone.hawa wote wanauwezo wakuwapa draw uingereza na usa kama wakiwakazia.
 
Mhh..Algeria bana sidhani kama wana backbone...tusubiri tuone lakini.
 
kundi hili media ya England walilipa jina la EASY,
England
Algeria
Slovenia
Yanks

matokeo yake sasa wanaona kwamba kazi bado kutokana na makosa ya kipa wao "muharami mohamed" lol.
 
tusijidanganye algeria,slovenia hamna kitu,15mins hakuna chochote,very poor game from 2 cr*p teams..................
 
tusijidanganye algeria,slovenia hamna kitu,15mins hakuna chochote,very poor game from 2 cr*p teams..................

umewastukiajamaa wamefanana kila kitu,wamenipa njaaa tu hapa.mpaka goli likiingia labdampira ndio utachangamka.
 
kundi hili media ya England walilipa jina la EASY,
England
Algeria
Slovenia
Yanks

matokeo yake sasa wanaona kwamba kazi bado kutokana na makosa ya kipa wao "muharami mohamed" lol.

Sidhani kama wako mbali sana na ukweli....wamepata upinzani kutoka USA kama walivyotegemea,na hawa Algeria na Sloveni ni EASY kweli
 
Sidhani kama wako mbali sana na ukweli....wamepata upinzani kutoka USA kama walivyotegemea,na hawa Algeria na Sloveni ni EASY kweli

tatizo la England wakikaziwa kwenye defence ngoma yao inakuwa ngumu sana.huwa wana struggle na timu za ajabu ajabu.
 
tatizo la England wakikaziwa kwenye defence ngoma yao inakuwa ngumu sana.huwa wana struggle na timu za ajabu ajabu.

hio ni kweli.....plus pressure wanayojengewa na high expectation from media na wananchi mitaani ndio matokeo yake hayo
 
_48060615_green.jpg

Aghhhh golikipa katuuwa, sio mbaya sana lakini

mkuu avatar yako imekaa kifreemasons sana
 
Hamna passion wala viwango

kwa kweli ukikosa kiwango uwe na passion.....ndio maana PL akina bolton na blackburn huchoki kuwatazama wakipambana na akina man u/arsenal ingawa hawana kiwango.....
 
Game inaboa kama nini.............Ngoja nisubiri game ya timu yangu ya Ghana................aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaargh
 
Back
Top Bottom