Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
hivi kuna shot on target kweli???
.........Hawa nao wanaboa nafuu tu wamalize mie naona wanaruka ruka tu.
.........Hawa nao wanaboa nafuu tu wamalize mie naona wanaruka ruka tu.
dada Pretty naona unakaba mpaka kona, sidhani kama MR anaweza kupata nafasi ya kwenda big screen
samir nasri,karim benzema wazazi wao wanatoka algria.....WHAT IF wangekuwa na uchungu na kwao??
Balantanda,
Hata game la jana la US na England lilikuwa lina boa, butua butua kwa sana na hakuna carpet la uhakika kama zile dakika 10 za kwanza za Argentina na Nigeria!
Kuna msela ameparamia maguzo ya taa na amebana juu kabisa akipeperusha bendera ya slovenia ,ila polisi pale chini wanasema kuwa ameingia bure kwa kuparamia yale mataa akitokea nje ,hivi sasa wanashauriana namna ya kumshusha .ila msela ametisha anasema atakaejaribu kumfuatia juu atalipuka nae au atamkumbatia na kuruka nae ,bado mapolisi na watu wa usalama wanashauriana !😛ound:
Hili suala la Jabulani limeongelewa halftime na Roberto Martinez na Ruud Gullit, so as BAK brough to our attention yesterday, ni dhahiri mpira huu umetengenezwa Sumbawanga!
Thank you! Reverend...nadhani utakumbuka miaka ya karibuni NBA walianza kutumia mpira mpya wakati wa pre-season na Wachezaji wengi pamoja na NBA players Association waliulalamikia sana kwamba si mzuri. David Stern aliufagilia sana kwamba baada ya muda watauzoea na kukataa kata kata kuurudisha mpira uliozoeleka na wachezaji lakini criticism zilivyozidi wiki moja kabla ya kuanza regular season Stern akabadilisha mawazo na kuruhusu mpira ambao umezoelewa na wachezaji kwa miaka mingi kutumika tena. Jabulani inaweza kabisa kuendelea kutumika mpaka mwisho wa fainali za kombe la dunia lakini sioni kama una future katika mashindano makubwa ya soka yoyote duniani.