Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
hivi kuna shot on target kweli???
2 tu labda lol.cha ajabu hizi timu uzembe wao wote wa haina moja yani kila kitu saawa sawa.mapacha wa ubovu hamna mbinu hamna kitu chochote kama watu tu wametupwa uwanjani nendeni mkacheze.