World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)



Ghana's Prince Tagoe is upended by Dejan Stankovic and Nemanja Vidic
 
Kumbe Patrice Evra amelalamikia Vuvuzela kuwa zinawafanya wachezaji washindwe kuwasiliana uwanjani.............Yes he has a point!
 
I don't like the style which Ghana are using............kukaba inabidi iwe man to man na sio kuziba position
 
Kuna fan mmoja wa Ghana kabeba kibuyu kinatoa moshi, wanamuonesha kila saa ...sasa sijui Serbia wamekuja na juju zao hahahahah!
 
I don't like the style which Ghana are using............kukaba inabidi iwe man to man na sio kuziba position

Mkuu football kukaba man to man ni suicide.....hii inatumika mara nyingi kwenye kona na mara chache against special players kama MESSI na RONALDO.....
 
Pamoja na kuwa defense ya Serbia ni nzuri sana...............na kw akuwa Ghana ni timu ambayo wengi wetu tunaitegemea ...................kwa kweli wameni-let down..........sikuona move ya uhakika kusema they deserve kupata goli............
 
Half time,so far ghana ndi better team...hope kocha atafanya mabadiliko fulani tupate ushindi......
 
Kumbe Patrice Evra amelalamikia Vuvuzela kuwa zinawafanya wachezaji washindwe kuwasiliana uwanjani.............Yes he has a point!


lol! hapa home nilikuwa naangalia na jamaa jana akadai kuna nzi wa yanga ameingia humu ndani? Nikauliza kwanini? Akasema husikii hiyo kelele inafanana kama wale nzi wa yanga? Nikamwambia hapana hiyo ni Vuvuzela unaisikia kutoka kwenye TV na si nzi wa Yanga....hahahahahah vuvuzela imekewa kero.
 
South Africa Ready to Ban Vuvuzelas from 2010 World Cup: What Happened to Chants, Drummers and Singing?

by Mad Dog and Glory on June 13th, 2010


Yes please!
Join SkyBet and get £20 bonus and refund if England win World Cup!
Win the Club Shirt Of Your Choice Simply by Speaking Your Mind!

South Africa's World Cup organising chief Danny Jordaan may ban vuvuzelas from inside stadiums after complaints from broadcasters and supporters.

The constant sound of the high-pitched horn-like instrument has so far drowned out much of the atmosphere-generating singing usually associated with games.
And Jordaan, when asked if he would get rid of them, told BBC Sport: "If there are grounds to do so, yes.

"We did say that if any land on the pitch in anger we will take action."
France captain Patrice Evra has already blamed the noise generated by the vuvuzelas, which has been likened to the drone of thousands of bees, for his side's poor showing in their opening group game against Uruguay, which finished goalless.

He said: "We can't sleep at night because of the vuvuzelas. People start playing them from 6am.

"We can't hear one another out on the pitch because of them."
Jordaan conceded that while the noise was irritating for some people, they were doing all they could to minimise the impact.

"We've tried to get some order," he continued. "We have asked for no vuvuzelas during national anthems or stadium announcements. It's difficult but we're trying to manage the best we can.

"We've had some broadcasters and individuals [complaining] and it's something we are evaluating on an on-going basis."

Jordaan admitted he was not a huge fan of them himself. "I would prefer singing," he said. (BBC Sport)
Fingers crossed these things will be banned. Its bad enough hearing them on televised coverage one can only imagine just how annoying they are in the grounds. I strongly believe that its something real football fans can do without. Since when did it become compulsory to make irritating noises for 90 minutes? Whats wrong with a good drummer in the stands? Or how about a good chant? Or a song?
Who wants Vuvuzela's banned? And who wants to keep them? By the way if you own a shop that sells them or you have shares in any companies that have a vested interest in Vuvuzelas you are not allowed to register your opinion!
 
Mkuu football kukaba man to man ni suicide.....hii inatumika mara nyingi kwenye kona na mara chache against special players kama MESSI na RONALDO.....

uliona jinsi wa-Algeria walivyokuwa wakikaba................my point is you don't wanna give your opponent a chance ya kuonyesha mbwembwe.........wee mwenyewe si unaona jinsi wa-Serbia wanavyokaba.........Ghana wakiwa na mpira tu tayari Serbia immediately wapo kutibua move ya aina yoyote...............na this first half Serbia wameonakana ni dangerous zaidi kuliko Ghana for that matter...........
 
Kumbe Patrice Evra amelalamikia Vuvuzela kuwa zinawafanya wachezaji washindwe kuwasiliana uwanjani.............Yes he has a point!

Yani mwenyewe naangalia via TV ila masikio yanauma inabidi niweke sauti ya chinii mana nikiweka mute utamu wa mpira unapotea. Sasa walio uwanjani inakuwaje?baada ya mechi nadhani masikio yanakuwa kama vile yamepooza,hizo Vuvuz ni shughuli ya aina yake!!
Go Ghana,washinde angalau kutupa matumaini Afrika..
 

lol! BJ Vuvuzela imeshakuwa taabu! Yeah! we can watch WC finals without Vuvuzela's irritating noise.
 

nimekupata mkuu,hio ni tight marking,sio man to man.......ni kweli wanatakuwa kuwa-close down waserbia quickly....
 


Haya wakuu, Algeria wameboa kweli gemu ya kwanza. Mie nishasogea Pretoria mtanage wa Ghana vs Serbia.

Karibuni jamvini.

Ab-Titchaz............yule jamaa mwenye jezi namba 8 anaonekana kama ni Essien vile..................au macho yangu ndio hivyo tena?
 
nadhani swala la vuvuzela ni wachezaji wengi wamelalamika kwamba wanashindwa kuwasiliana.mie nafikiri kama inawasumbua kiasi hicho bora wawaombe mashabiki wao wasije nazo uwanjani hili ziwasaidie kuwasiliana uwanjani na kuwapa ushindi.
 
nimekupata mkuu,hio ni tight marking,sio man to man.......ni kweli wanatakuwa kuwa-close down waserbia quickly....

you quite right Mkuu........my bad...........its tight marking............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…