World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Timu zote zimerejea na nguvu mpya huenda tukashuhudia magoli kipindi hiki.
 
Hizi nale nale Ghana watazijutia.....

yaani kweli kabisa mkuu.............si unaona sasa tunavyokoswa koswa.................trust me Serbia wakija mara ya tatu namna hiyo tumekwisha
 
kuna move fulani hapa naziona............ingekuwa zile za Tony Yeboa...............tungekuwa tunazungumza mengine
 
Ab-Titchaz............yule jamaa mwenye jezi namba 8 anaonekana kama ni Essien vile..................au macho yangu ndio hivyo tena?
Nimeeka picha ya zamani hapo mkuu.
 
lol! BJ Vuvuzela imeshakuwa taabu! Yeah! we can watch WC finals without Vuvuzela's irritating noise.

BAK,zimekuwa tabu kweli au bora zingepulizwa game zikiisha..If finals will be without Vuvuz,it will be more fun!!..
Hii mechi ya leo sijui droo!tusubiri 90mnts!!
 
nilikuwa najiuliza Mzee upara leo vipi?.....safi sana kaingia
 
now thats opportunity..................Go Ghana go Ghana
 

Milos Krasic of Serbia is challenged by Andre Ayew of Ghana during the 2010 FIFA World Cup South Africa Group D match



Ghana's midfielder fights for the ball with Serbia's striker Dragan Mrdjas and Serbia's striker Marko Pantelic during the Group D first round 2010 World Cup football match Serbia vs. Ghana



Kevin Prince Boateng of Ghana (R) tackles Milan Jovanovic of Serbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…