Own goal anapewa yule beki alio u-direct mpira on target,kwa jinsi lile goli lilivyoingia agger ndio alitakiwa apewe own goal.Hiyo ndiyo 'own goal - og'
tusubiri mtanange wa Cameroon vs Japan nadhani itakuwa mechi kali sana.
Holland wana timu nzuri sana ila wasiwasi uko kwenye defence
Acheze SWP au Joe Cole wote hamna kitu,sidhani kama angecheza Cole matokeo yangebadilika huo ndio uwezo wa Englandnilimshangaa sana kumleta SWP wakati ana Joe Cole kwenye bench,Milner surprise kubwa sikumtegemea Capello kufanya maamuzi ya kizembe kama vile.
sidhani kama watavuka round of 16.
Mkuu, ulikuwa wa kwanza kupendekeza thread zote za Woza ziunganishwe. Naona sasa unakuwa wa kwanza pia katika kuziachanisha.
Capello taahira! Ledley King hayuko 100% alimuanzisha, Angedrop mmoja wapo Gerald ama Lampard acheze Gareth Barry hata kama hayuko 100% kumuanzisha Milner wakati amefanya mazoezi siku 2 ni ujinga, golini kumweka Rob Green ni kituko na Kumwacha Cole Joe kuozea bench amelipa 1-1. Game ijayo na zinazofuata watu kama akina SWP hawana akili ya mechi kubwa. Anyway England hawafiki mbali...wakijitahidi watavuka mtoano tu
duh SONG bench...................
maamuzi mengine huwa nashukuru mungu inatuepushia injury pale Emirates lol.
He, mkuu... mbona uaweka mambo ya ndani sana hayo??? kakuna nini tena?