Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
Butuabutua
Mkuu wewe kama mimi..mmh mpira sijauelewa kabisa adi ss!!
inanitia shaka apa...let me watch
ole wao cameroon😡
Muda utaamua mkuu..naona mkuu hile 50 bucks inaanza kuangukia upande wangu ha ha ha.
Muda utaamua mkuu..
Hawa nakosa imani nao kabisaaa!Cameroon no creativity at all.
Cameroon no creativity at all.
Hawa nakosa imani nao kabisaaa!
Walau dakika zinasogea; dakika ya 28 bado 0 - 0
Hawa nakosa imani nao kabisaaa!
Walau dakika zinasogea; dakika ya 28 bado 0 - 0
nilitaka niliseme hili,nikareserve my comments
ila sasa naanza ona hapa,vipi vijana wetu mchechee mwingi???
hawatupi raha kabisaa hawa!!
still I hope for afrika huh