Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Bora spain wamefungwa,mimi naomba wote the so called favorites hata mmoja wao asibebe kombe
I am so happy jamani they deserved huu ushindi!
Dah, mwenyewe niliingia kufuatilia LIVE stats nikakuta mmbebabox bado yuko kazini hajatua JF nikaona walau tuwe na playground mapeeema!asante mkuu manake nilikua nataka kuvungua jukwaa niliona limechelewa kidogo.
tuko pamoja a must win game for South Africa.