Soka la Afrika mkuu, kutaka kuonyesha kipaji binafsi!Huyu Tshabalala anaharibu move za wenzie anabutuabutua tu to afunge mechi ya kwanza anadhani atakuwa anafunga tu
Jamaa hawako serious hawa, unaweza kutukana kwa sauti kabisaaaa
Hahaha, sisi ndo tumedesa kwao?