World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

nimejifunza lakini bado nataka ufafanuzi zaidi no way.FIFA wanahitaji kufafanua zaidi kwa dunia nzima.
 
Wa-Sauzi washkuru Mungu kwa hii sheria!
 
wanaboa, mchezo hauna mwamko, refa hana macho mawili..wamwazime miwani...lile lilikuwa goli la wazi kabisa na kuna mchezaji wa souz alikuwa kwenye goli kabisa..
 
Mexico wachovu, South Africa wachovu mara mbili zaidi lol...Hao SA siwapi matumaini ya kupita hata kidogo.

Aloo weye naye umefufukia wapi tena?..Usipotee namna hio aisee.

That said, u r points are spot on. Tunashangilia Sauzi kwa sababu ya uzalendo tu lakini hamna kitu.
Ingekua Brazil nd'o Mexico mbona ningekua nimeenda kumbonje kitambo sanaaaa!!!
 
nimejifunza lakini bado nataka ufafanuzi zaidi no way.FIFA wanahitaji kufafanua zaidi kwa dunia nzima.

uko right...hata mimi ningeandamana kusema lile ni goli sahihi,ila hapa ndio tunaona marefa wanavyojua sheria ambazo sisi hatuzijui.
 
Watoto lakini wana experience
Juarez-22
Vela-21
Dos Santos-21
Aguilar-24
 
Baba Mkubwa naona umeelewa vizuri hio decesion,the best ever offside decision.....
Mimi mwenyewe nilikuwa sifahamu mkuu, nimeifuma somewhere hii issue....Tukushukuru wewe kwa kuiweka sheria hapa, maana kuna watu (mfano mimi) huwa hatusomi au hatufahamu sheria ila ni kulalamika tu
 
Second half akiingia mkongwe Blanco na Chicharito biashara imekwisha
 
wanaboa, mchezo hauna mwamko, refa hana macho mawili..wamwazime miwani...lile lilikuwa goli la wazi kabisa na kuna mchezaji wa souz alikuwa kwenye goli kabisa..

mkuu,take ur time,read what an offside position (its not an offense) is......au hapo unapoangalia sikiliza ufafanuzi wa pundits(sikushauri uwasikilize pundits waki-tz)
 
Aloo weye naye umefufukia wapi tena?..Usipotee namna hio aisee.

That said, u r points are spot on. Tunashangilia Sauzi kwa sababu ya uzalendo tu lakini hamna kitu.
Ingekua Brazil nd'o Mexico mbona ningekua nimeenda kumbonje kitambo sanaaaa!!!

Nipo mkuu in fact niko mitaa ya kwenu uku.
 
nimejifunza lakini bado nataka ufafanuzi zaidi no way.FIFA wanahitaji kufafanua zaidi kwa dunia nzima.

Mkuu,

simply put, the goalkeeper became a player and the player in the goal became the keeper.
Ukijaza hapo basi unaona offside.
 
Aloo weye naye umefufukia wapi tena?..Usipotee namna hio aisee.

That said, u r points are spot on. Tunashangilia Sauzi kwa sababu ya uzalendo tu lakini hamna kitu.
Ingekua Brazil nd'o Mexico mbona ningekua nimeenda kumbonje kitambo sanaaaa!!!

Uzalendo muhimu Mkuu...katika timu za bara letu Ivory Coast na Algeria wanaweza kufika mbali, lakini kwa Ivory Coast ni lazima participation ya Drogba iwe 100% vinginevyo wanaweza kuondoka mapema
 
Mkuu,

simply put, the goalkeeper became a player and the player in the goal became the keeper.
Ukijaza hapo basi unaona offside.

Heheh sasa huyo mchezaji akidaka penati itatolewa au haitotolewa? Hii sheria ina kautata kidogo ndio zile sheria zinajifiaga zenyewe baada ya mashindano.
 
Miafrika bana, sasa hapo Alberto Pereira si anawaibia tu hela wasauzi? Timu hovyohovyo kama Taifa Stars.
 
Mkuu,

simply put, the goalkeeper became a player and the player in the goal became the keeper.
Ukijaza hapo basi unaona offside.

nimeielewa vizuri sana mkuu ufafanuzi lakini bado sheria ina utata na itafanyiwa kazi.nashukuru mungu imetokea na ndio itaweza kujadiliwa manake miaka yote hio sijawahi kuona kitu kama hiki ni vizuri dunia imeiona.

kumbuka kipa kaenda kucheza mpira sio kwamba katoka bila sababu kama ni hivyo wa mruhusu huyo mchezaji kudaka kama anageuka kuwa keeper.
 
Heheh sasa huyo mchezaji akidaka penati itatolewa au haitotolewa? Hii sheria ina kautata kidogo ndio zile sheria zinajifiaga zenyewe baada ya mashindano.
yaani mkuu hii sheria wala haina umuhimu zaidi ya kuaribu radha ya soka yenyewe kwani mpira ni magoli na mbinu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…