kwa waniga wameniput off kabisa, yaani kwa kweli sijapata kabisa raha ya gemu na hizi timu za Afrika. Na leo kama sio the great Enyiema, waniga wangeondoka na kapu la magori kwenda kugawana kwao.
Yaani wameniuzi sana, hivi kwa nini hawachezi kama wako kwenye world cup?
Kweli kabisa, zali alianzishe mwingine halafu tumlaumu kocha wapi na wapi. Visingizio tu kila kuchapo.Mkuu labda useme hiyo plan b uliyoitaka.Mkiwa pungufu ni pungufu na hilo pengo haliwezi kuzibika kirahisi hata kama ni timu kubwa kwenye rank za fifa.Vinginevyo hiyo plan b ingekuwa na maana basi kusingekuwa na haja ya kujaza watu uwanjani.Chezesha wanane,wenzako kumi,halafu mtashinda.Si kuna plan b?
Mazee usimlaumu kocha wa watu bure,wewe sema tu sisi(miafrika) tuna tatizo....
ukishabikia timu za Afrika unaweza ukaumwa gafla
Kweli kabisa, zali alianzishe mwingine halafu tumlaumu kocha wapi na wapi. Visingizio tu kila kuchapo.
Kweli kabisa, zali alianzishe mwingine halafu tumlaumu kocha wapi na wapi. Visingizio tu kila kuchapo.
mi naombea ngoma iwe droo ili wasouth wapate unafuu wa kutafuta point kwa France............. uzalendo bwana kufungwa tunafungwa ila bado tu matumaini ninayo... kazi kweli kweli..Ndo kandanda inapigwa sasa..Mie nashabikia France!
Enjoy the match!
Mie nashabikia France
mi naombea ngoma iwe droo ili wasouth wapate unafuu wa kutafuta point kwa France............. uzalendo bwana kufungwa tunafungwa ila bado tu matumaini ninayo... kazi kweli kweli..
mi naombea ngoma iwe droo ili wasouth wapate unafuu wa kutafuta point kwa France............. uzalendo bwana kufungwa tunafungwa ila bado tu matumaini ninayo... kazi kweli kweli..
Ndo kandanda inachezwa sasahivi Polokwane Stadium..Mie nashabikia France!
Enjoy the match!
Mods baada ya mechi do the needful,Asante!!
same here...tuone itakuwaje but hawa wamexico wanahaha sana....hawataona kitu
Hehehe France wazee wa kununua talent hawana deal mwaka huu sema hawa Mexico nao wamejichokea kama Taifa Stars
Unakufa na tai yako shingoni mwana wasu!.
Najilaumu kukatiza usingizi wangu!!!!!!
ha ha..mimi nawashangilia wa mexico hapa manake dada zao hawana hiyana wala nini,ukibanwa wanakuhudumia fasta...
Mimi nawashangilia wa mexico hapa manake dada zao hawana hiyana wala nini,ukibanwa wanakuhudumia fasta...