World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Haya sasa mliokuwa mnabisha, hata penati wanakosa. Podo kakosa penati, whaat!!!!?????

Vuvuzela zinazidi kutesa uwanjani...... Ngoja niongeze sauti, hihihiii
 
wameokoa bwana

SAVED! Stojkovic gets Vidic out of jail by saving Podolski's weak penalty and Serbia survive!
 
Waambie wewe. Mimi nikisema wananibishia. Labda tu tumbe refa atowe kadi nyingi ili Australia walau na yeye ashinde mechi moja.

Leo Waafrica wanaishangilia German. MAAJABU, hihihiiiii

Ni sawa na watakavyoishangilia Argentina ishinde. Maradona lazima ashinde mechi zote tatu na hii itaibeba Nigeria. Watafanya hivi ili kuchukua washangiliaji wa Africa. Hapo Nigeria washindwe wenyewe.
lakini wajameni hii game mbona sielewi?
au ndo mkakati wa kuhakikisha hakuna ngozi nyeusi?
 
ujerumani wanahaha kweli kweli!nadhani watapata goli!

SIKONGE,
hii mechi haijauzwa...
NIMEJIRIDHISHA
 
sio rahisi kujua kwamba wanaocheza ten-man ni ujerumani!
SERBIA AKISHINDA HAPA NI KWA NGUVU ZA MUNGU
 
Makosa ya namna hii yanafanywa zaidi na wachezaji wa kiafrika...so far three african players have been red carded...(khune, kaita, na algerian player)...na at the end african teams zinaloose tuuu game kirahisiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.why???????????


Hivi Zinedine Zidane alipomtungwa yule muitaliano kwenye fainali za kombe la dunia zilizopita alikuwa anachezea timu za kiafrika. Tuache kuwafanya watu wengine kama siyo binadamu kwamba wakichokozwa wanaweza wasireact. Ni ukweli kwamba timu za kiafrika zimetuangusha mpaka sasa hivi, lakini pia siyo sababu ya watu kuwaona wengine hawana weakness za kucontrol hasira.
 
Podolski fires in another effort but this one is wayward
 
Changes galore. Ninkovic is off and Kacar is on for Serbia. For Germany, Cacau and Marin are on for Ozil and Muller.
 


sitashangaa MAURINHO akianza kumtafuta kipa huyo
 
Schweinsteiger is the latest to be booked after banging into Kolarov.
 
Zigic has hit the bar! Krasic delivers a great cross and the big man towers high but powers his nod against the bar. Should have scored.
 
Kuzmanovic goes off and Petrovic comes on as Serbia make their second change.
 
Gomez is on for Badstuber. An attacker for a defender.
 
ujerumani wamepata kona lakini DAH!mpira mkubwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…