World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Mexico wanataka kujifanya wanatandaza samba wakati hawana penetration ya maana.
 
Confidence ya Sauzi sasa imepanda...Vuvuzela utadhani nzii ****** uswahilini wakati wa jua la vichwani...Kudadeki jamani!

kweli yani vuvuzela zinaanza kunikera - Kama inzi au yule mbu aliyepita kwenye chandarua anakusumbua usiku kucha!

Ila nilicheza na Bafana Bafana baada ya goliiiiiiii!

kichwa kimeanza kuniuma
 
webu gani inarusha hizi streamz za wadi kapu,,,,!

Dondoo ,jamaa wapo mpirani huko mitaani si hasha ukakuta vibaka wanatajirika kiurahisi,yaani unarudi mpirani unakuta wamesafisha nyumba ,usizani uongo dunia hii watu wapo shapu kabisa yaani hapo sausi si hasha wengine ata awajui kama kuna mpira ata wakijua wao na kazi zao .
 
Hata mimi ningependa washinde ila mhhh, sina hakika. Ndo maana bado nipo nipo tu!!

Hivi lile goli walilokataliwa Mexico wangekataliwa South Africa uwanjani pangekalika pale?

US Massive, ESPN wanasema ABC wanaonyesha England vs USA, kuna mtu anafuatilia?

Na ukizingatia kuwa wengi wetu tunatanguliza ushabiki badala sheria za mpira basi sasa hivi ingekuwa hatari. Hizo vuvuzela zingegeuka kuwa zana za kazi!
 
Sauzi wanawaacha banaa!!!...Hilo lilikua bao la pili jamani!
 
Duh, wamebahatisha bana..

Mkuu wakati mwingine kuwa na bahati nako ni muhimu hata katika michezo. Mnaweza kushambuliwaa kipindi kirefu lakini bado mkaibuka na ushindi.
 
Hivi lile goli walilokataliwa Mexico wangekataliwa South Africa uwanjani pangekalika pale?

US Massive, ESPN wanasema ABC wanaonyesha England vs USA, kuna mtu anafuatilia?

Hio ngoma ni kesho mkuu.
 
Hivi lile goli walilokataliwa Mexico wangekataliwa South Africa uwanjani pangekalika pale?

US Massive, ESPN wanasema ABC wanaonyesha England vs USA, kuna mtu anafuatilia?

Yes, ABC wataonyesha mechi ya USA na England kesho 2.30 pm EST.
 
jaribu atdhe.net ,iraqgoals.net wote hawa watakuwa wanaonesha.
 
Mkuu wakati mwingine kuwa na bahati nako ni muhimu hata katika michezo. Mnaweza kushambuliwaa kipindi kirefu lakini bado mkaibuka na ushindi.
Mehiko are just not cutting at the moment. Ingekuwa timu nyingine wangebugizwa mabao ya kutosha hadi usawa huu.
 
Aya weeee, wamerudisha Wa Mexico. 1-1

This should really be 2-1 for Mexico.
 
Vuvuzela inazingua, My God Mex wamesawazisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…