World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

hivi mkuu huu ugonjwa wa watu wengi tunaopenda ligi ya uingereza kwa sisi watanzania sijui nchi zingine, kipindi kirefu tumekuwa hatuipendi uingereza kwenye international games kwanini? ni kwa ajili ya jeuri ya media yao au

Sababu kubwa ni jeuri ya media yao........Ya pili hawajui mpira........Wachezaji wengi wanaotamba kwenye EPL ni kutoka mataifa mengine.......wa kwao wanaotamba ni wa kuwahesabu
 
This team can go nowhere, labda wanaeza kushinda leo, lakini with this kind of mediocres wataishia raundi ya 2 tu.

At Milner anaanza mbele ya Joe Cole? Hata hivo nashukuru James hachezi maana wanapenda sana kumtupia lawama hata zisizo na sababu. Leo wache wachapwe wao na kipa wao 'mzungu'.

unamuogopa lampard mkuu? lampard ndio perfomance yake mbovu sana kwenye international games.milaner kwa ajili ya kukaba atawasaidia.Jo Cole super sub.kipa pale Joe Hart ndio jibu lakini waache waendelee kumtafuta mchawi golini watapata jibu tu.
 
Watu wanaanza kulialia eti refa ana tabia ya kugawa kadi kama njugu ..he he he..
 
kwakweli hii ni mechi ngumu sana kwangu, hata sijui nishangilie yupi, wote ninawapenda.
 
Match imeanza, sijui kama hawa watoto wa Malkia watapona
 
what?....since when? (you all suck LOL!).....Go England yooh!.....mpira unaanza saa ngapi?hawa ABC wameshanichosha na matangazo yao.....

Hivi when na Tanzania tutapata opportunity kama hizi?.....Kiranga kwa nini usiende kucheza mpira wa kulipwa ulaya?.....


Yehuuuuu! Kwechi kumunet! Go England! Go
I think this is the fastest goal in World Cup finals
 
We will return like Rambo, be back with some Schwarzenneger swagger.

Our plotline is always to come in from the cold as an underdog.
 
We will return like Rambo, be back with some Schwarzenneger swagger.

Our plotline is always to come in from the cold as an underdog.

Yeah! but you've to make sure you don't concede the 2nd goal before HT maana kipa mzuka umeshampanda
 
england 1,USA 0
na watachapwa leo adi wakome
 
it was Heskey produce the ball to Steven G. who make Uk 1 USA 0
still going the game seems to be tough
 
ata wakishinda leo hawafiki mbali mbeleni,nyooo
wanaboa kinoma
 
Back
Top Bottom