World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Haya mbona jabulani haijateleza kwa Howard na Heskey hapo...?
 
Nimegundua England wanaeza kuwa unsettled very easily..hii sio dalili ya mabingwa.
 
Wamarekani wanacheza kwa ajili ya droo, England washakuwa frustrated hehehe. Timu yao nzuri kwenye media tuu uwanjani hakuna kitu, ngoja nikawazingue washabi wa England sasa.
 
Naona wanywa chai na wala burger leo ngoma suluhu hili kundi lingekuwa tamu kama Iraq au Iran zingekuwepo vile vile.
 
hoiiii hoiiiiiiiiiiii
kwisha khabari yao
 
Back
Top Bottom