Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Ni nani Man of the match leo(kwa mujibu wa JF)????????????????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamarekani wanacheza kwa ajili ya droo, England washakuwa frustrated hehehe. Timu yao nzuri kwenye media tuu uwanjani hakuna kitu, ngoja nikawazingue washabi wa England sasa.
To me; Howard kafanya kazi kubwa. Kama kipa wa NigeriaNi nani Man of the match leo(kwa mujibu wa JF)????????????????
Hapan'shaka OGUCHI ONYEWU..Ni nani Man of the match leo(kwa mujibu wa JF)????????????????
Ni nani Man of the match leo(kwa mujibu wa JF)????????????????
Ni nani Man of the match leo(kwa mujibu wa JF)????????????????
To me; Howard kafanya kazi kubwa. Kama kipa wa Nigeria
Naona wanywa chai na wala burger leo ngoma suluhu hili kundi lingekuwa tamu kama Iraq au Iran zingekuwepo vile vile.
Mimi nakipa kifaa hiki; Oguchi Onyewu