World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Ni nani Man of the match leo(kwa mujibu wa JF)????????????????
 
Wamarekani wanacheza kwa ajili ya droo, England washakuwa frustrated hehehe. Timu yao nzuri kwenye media tuu uwanjani hakuna kitu, ngoja nikawazingue washabi wa England sasa.

twende wote KWAKWELI
 
Game over.............England 1 USA 1.............Safi sana US
 
Haya ngoja tusubiri match zinazokuja. Ila naona US watapata nguvu zaidi wakati Eng pressure ndo inazidi kupanda. Ngoja wachapwe ili wajifunze kucheza mpira uwanjani!
 
_48060615_green.jpg


England waponea chupu chupu
 
oooh Bradley!!hhahaaaa
wainglishi hoiiii-gerald ziiiii
 
heeeee gerald nae analalamikia jabulani?hahahahhaaaa
 
kheeee kumbe tuko WENGI tusioitakia mema england???
na bado awa nataka watoke round ya pili hawa

north korea ikikutana na south korea!mh
north korea na USA!!hahahahaa

alamsiki
 
Hata England wapo waliocheza vizuri, sikutegemea kama Heskey bado mzima kiasi kile. Rooney kaendeleza game yake isiyo ya unyimi (unselfish) pia Gerald kacheza vizuri.
 
Back
Top Bottom