Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa badala ya kupiga kufunga goli yeye alikuwa anaokoa ha ha ha !Ila kubutua nako wanabutua! Toka hii mech imeanza! Sanaaaa cjui kwa kuwa kujaribu si kushindwa!! Haaa! Yani goli liko kati butuo linapaa juu tena pembani yagoli kulia/kushoto...duuu..
Basi huyu yuko emotional sana,au mara ya kwanza anacheza WC nini..sijawahi kulia nikiimba wimbo wa taifa..
BTW,yani mpaka sasa Brazil hawajafunga goli ina mana hawa N.Korea ni wakali hivyo?!..ha ha
hii mechi kama Brazil watashindwa kuchukua point zote tatu watakuja kujilaumu coz kwenye kundi lao hii ndio timu ambayo unaweza kuwa na uhakika wa kuondoka na tatu......hawa jamaa nao wamekaza kweli hawataki mchezo.........................we mtu analia anapoimba wimbo wa taifa lake unadhani atakuachia kiurahisi....
Huyo jamaa badala ya kupiga kufunga goli yeye alikuwa anaokoa ha ha ha !
BJ nimewaona wengi ambao wakisikia nyimbo zao za Taifa huangusha mchozi kama watoto lakini kwenye WC hii ni mara ya kwanza. Kuhusu Brazil kutopata goli hadi HTsijui kama tunaweza kusema N. Korea ni wazuri sana au Brazil wanataka kupiga chenga mpaka golikipa.
Brazil kwa kujulikana kama ni magwiji wa soka Ulimwenguni wengi tulitegemea wawe mbele at least kwa goli mbili kama siyo zaidi.
Aisee nahisi mtu akilia hivyo ana uchungu na nchi yake kama wimbo wa taifa unapigwa au anakumbuka mambo ya kwao..Jamaa au ndo nitoke vipi,kulia WC huh!
Kweli hii mechi mie hata imenikosesha msisimko kuiangalia full chenga tu..Haya tuone 2nd half kama itakuwa na mabadiliko vinginevyo tuenjoy chenga tu mpaka 90mnts..
Basi huyu yuko emotional sana,au mara ya kwanza anacheza WC nini..sijawahi kulia nikiimba wimbo wa taifa..
BTW,yani mpaka sasa Brazil hawajafunga goli ina mana hawa N.Korea ni wakali hivyo?!..ha ha
Lil Kim lazima atakuwa anachekelea huko Pyongyang.
Halafu yule aliyekuwa analia nyie mnafikiri ni patriotism kumbe mwenzenu anakumbuka vitisho vya Kim Il Jong walivyopewa ikiwa watafungwa.
ni mara pili hawa sasa wanaingia world cup mara mwisho 1966.natoa chozi kutoamini sio macho yake na mapenzi ya nchi labda lol.
Wakorea wamepaki bus golini pale naona mpaka sasa brazil hawataki kutumia plan b au hawana plan b.