World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Mimi nawashangilia wa mexico hapa manake dada zao hawana hiyana wala nini,ukibanwa wanakuhudumia fasta...

..............Sio wadada tu moto haka kaka zao macho juu juuu.
 
Its funny Domenech kuna wachezaji wake ambao hata wakiboronga, mechi inayokuja watacheza tu.
 
soc_g_rodriguez1x_576.jpg

Akina Holla Amigo wakikosa goli hapo!.
 
Ndo kandanda inachezwa sasahivi Polokwane Stadium..Mie nashabikia France!
Enjoy the match!

Mods baada ya mechi do the needful,Asante!!

Hongera kwa kuanzisha hii thread....nilihisi utakuwa unawashangilia hao hata mimi nawafagilia pamoja na kuwa sikupenda namna walivyoingia kwenye fainali za WC kupitia goli la Mungu...LOL! lakini sijui kama wataweza kwenda mbali.
 
Back
Top Bottom