Noname
JF-Expert Member
- Feb 8, 2010
- 1,269
- 29
hehehe mkuu hii kujiuwa unaita uzalendo? bora nisiwe mzalendo maisha!
Kloro wewe umeacha kumkoa junior....?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hehehe mkuu hii kujiuwa unaita uzalendo? bora nisiwe mzalendo maisha!
hehehe hapo buluu umenipoteza kabisa! nimejaribu kuangalia kwenye map ,lakini sikuona huo mji.:help:Kloro wewe umeacha kumkoa junior....?
pole waafrica wote hatukupenda ghana ifungwe, refa alichezesha haki kwa mujibu wa sheria 17 za mpira wa miguu.yule refa naye hatosahulika na afrika kwa kushindwa kutambua kuw lile lilikuwa goli la wazi kwani yule mruguway aliuzuia mpira ndani goli.
Jana nilisikitika sana na leo sijatamani hata kusoma gazeti kwenye kurasa za michezo. It was our time to win but referee twisted us
Naona watu wengi humu WC imeisha jana.
Just as I am thinking about starting the thread, Muller scores!