World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

_48286891_pedroafpp.jpg

Huyu kocha wa Spain mchawi wake kamwambia hakuna kufurahi timu yake ikifungsa goli? Maana haonyeshi kufurahi hata kidogo!
 
hehehe mkuu ningekushauri ubadilishe timu kabla maumivu ya jumapili. huyo mdachi atapigwa si chini ya tatu (hili halina mjadala kabisa)

HOLLAND kwa sana tu mkuu huku robben,van persie,kuyt wakilishwa na sneijder utawaonea huruma spain mkuu.tayarisha panadol zako ha ha ha.
 
:first: for SPAIN

:second: HOLLAND

:third: GERMANY

:closed_2::closed_2::closed_2:
 
HOLLAND HOLLAND HOLLAND kombe linaenda amsterdam vizuri tu.

Na Iwe mkuu!!..Ila hata likienda Spain siyo mbaya nawapenda sana..mmh!mpaka j2 nitajua niwe na Sneijder au Villa!!..

Kudoz to Spain..German my foot mana wametembeza kichapo halafu hapa wamepewa kimoja tu!!Back to Berlin,ha ha
 
HOLLAND kwa sana tu mkuu huku robben,van persie,kuyt wakilishwa na sneijder utawaonea huruma spain mkuu.tayarisha panadol zako ha ha ha.

hehehe hakikisha unahuzuria hapa ukumbini mapema Jumapili. na usisahau kiboksi cha painkillers pembeni.
 
Kweli siyo yote yang'aayo ni dhahabu. Leo Spain has shown us the way.
 
Na Iwe mkuu!!..Ila hata likienda Spain siyo mbaya nawapenda sana..mmh!mpaka j2 nitajua niwe na Sneijder au Villa!!..

Kudoz to Spain..German my foot mana wametembeza kichapo halafu hapa wamepewa kimoja tu!!Back to Berlin,ha ha

chagua mapema hakuna kuwa neutral kwenye fainali ha ha ha.
 
Badili mtiririko huo..Holland, Spain halafu mshindi wa 3 Uruguay!..ha ha
he he he , hakikisha unabeba tishu za kutosha jumapili (kwa ajili ya kilio au kijasho cha presha), huo mtiririko nilioweka hata pweza anakubaliana nao. hako ka nchi ka red kamenikata stimu kweli aisee.
 
Am for Germany :lie:

Yuuu!!..eti now your team is Spain,ha ha..pole zako Robot!!

BTW, Germany is not the overall winner..nimejibu swali la hii thread, ha ha..German, German kama vile ndo wafalme wa mpira..Maradona lazima awe na furaha saivi!
 
Heheh hapa sasa sijui nishabikie nani maana duh ni mambo ya my number 2 pick vs number 3 pick.....!!
 
Wakuu naona historia inajirudia, hivi kuna mtu mwenye record ya mechi japo tatu kati ya Uholanzi na Hispania za hivi karibuni?
 
Back
Top Bottom