Kwa kumbukumbu tu we' ni mshabiki nguli wa Brazil...Lakini jamani mlitegemea nini kutoka kwa Mjerumani? Kuanza tu kamchapa bingwa mtetezi Spain magoli matano na leo tayari kamchapa "host" matano yale yale! Cha kushangaza ni nini? Niambieni mimi ninayeshabikia magoli tu bila kujali anayefungwa ni nani! Mashabiki wa Brazil ombeni tu msivunje rekodi ya dunia kwa kuruhusu matano zaidi; hii itakuwa balaa!
Am waiting for miracles
CAPTION: JAMANI HAWA JAMAA WAMESHAPOTEANA KWAHIYO TUWATANDIKE MAPEMA
[/QUOTE
hahaaaa
tangu mwanzo wa mashindano siikubali brazil kwa kua mwaka huu haina kiwango na imefika hapo kupitia mbeleko za marefa
Lakini jamani mlitegemea nini kutoka kwa Mjerumani? Kuanza tu kamchapa bingwa mtetezi Spain magoli matano na leo tayari kamchapa "host" matano yale yale! Cha kushangaza ni nini? Niambieni mimi ninayeshabikia magoli tu bila kujali anayefungwa ni nani! Mashabiki wa Brazil ombeni tu msivunje rekodi ya dunia kwa kuruhusu matano zaidi; hii itakuwa balaa!
Mke mwenza haya mambo gani? sijawahi ona kabisa, something wrong....
Germans are not good people
mimi nawapenda as long as wanawatesa BrasilI hate the Germans as long as walitesa wazee wetu
Hawa ni Brazil wakichina...
We have a God that can turn results
we unaangalia mpiga gani????