World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Yaani Kocha angefanya masahihisho.mapemaaaaaa kipindi cha kwanza ila ndio akawa mkaidi hagaidi mpaka siku ya idi
 
Ngoja nilale mapema nijifunike shuka nikiamka asubuhi nitakuta bwana katenda miujuza zote goli saba zitakua zimerudi
Amen
 
Mkoloni safi sana yaani umenyonyoa Kuku kabla ya kumchinja sasa kapata uchungu bhalaa.
 
Katavi njoo hapa utuambie kesho unashabikia timu gani watu tusiumize vichwa kumlipua mhindi bhana!
 
Last edited by a moderator:
Germany wanapaswa kuchukua kombe mwaka huu otherwise utakuwa ni ujinga kuwa tingatinga then wanakosa kombe
 

Not a popular drink in Brazil right now...


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Germans have proved to be football terrorists,they should have their own worldcup
 

Unaenda wapi??
 
Mi ningekataa kucheza leo yaani ningejifanya nimeumia kabisaaaaa migoli yote ile mapema hapana asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…