World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Dah!!! Ndiyo tunakaribia kufika ukingoni, matokeo ya jana yaliniudhi sana, lakini siku niliyoumia kupita kiasi ni katika mechi ya Ivory Coast na Greece kwa yule referee kutoka Ecuador kutoa penalty kukiwa kumebaki sekunde 30 tu, nilikosa raha kwa siku kama mbili au tatu. Kwa maoni yangu Kombe la Dunia 2014 mechi nyingi zilikuwa bomba sana ukilinganisha na 2010 kule South Africa. Haya Wadau tunaoenda kulala usiku mwema.
 
nimefurahi sana hawa wadatchi kutolewa maana humu watu wa masista u tayari walikua washaanza zogo la kumsifia van gal na leo v.persie wao hajaonekana kabisa na huyo roben wao
 
kuna football critic mmoja alisema hii world cup ni anybody's world cup....hakuna dominant team kihivyo...Brazil wali collapse kwanza......ukitazama hata Ghana angekomaa angefika fainali...hata USA.....sio kwamba Germany wazuri sana walaa...wako level moja na Argentina na Uholanzi na hata Ghana in my opinion na France...same level...
 
Kuna mtu akiona hapa atakuchukia? We unafikiri mchezo mpka akaacha timu yake kaja kushangilia kwangu ili huo ufundi asiukose!, chezea nanilii hata kwenye football imework out!!!

hujanijibu nije au nisije.....
 
Mchezaje mwenye record ya kipekee ktk ulmwengu wa soka Lionel Messi amedhihirisha kuwa n kweli yu kiumbe alieshushwa kwenye hii sayari ya dunia kwa kuiwezesha timu yake kuingia final baada ya miongo kadhaaa kupita,leo messi ameiongoza argentina kuitandika vibaya timu ya Netherland kwa
mikwaju ya penalt baada ya muda wa nyongneza kuisha..paspo uwepo wa Angel di maria

My take:Argentina ndo bingwa wa kombe la dunia la mwaka 2014 utake usitake,kitu hakitok amerca hko....


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 

Spot on!

Hata gemu ya jana si kwamba Ujerumani ili dominate kivile. Hapana.

Ni kwamba tu walipozipata fursa za kufunga, wakafunga magoli na hicho ndo kilichoua kabisa morali ya Brasil, hususan yale magoli manne ndani ya dakika sita.

Na haijalishi wewe ni nani, hata kama Ujerumani ingepigwa magoli manne ndani ya dakika sita wange-collapse tu.
 
lol! That is the beauty of JF....humu unaweza kucheka kama hamnazo kwenye baadhi ya mabandiko.

Teh teh teh....umenichekesha kweli mdada......

Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Yaani nilikuwa sijacheka toka jana baada ya kisago.
 
nimefurahi sana hawa wadatchi kutolewa maana humu watu wa masista u tayari walikua washaanza zogo la kumsifia van gal na leo v.persie wao hajaonekana kabisa na huyo roben wao

Amekutana na kigogo, hawakuruhusu Roben afanye atakavyo, hakuachiwa nafasi hata apate kujiangusha. Naamini hata jumapili akina Muller, Klose, Kroos, Khedira na hata Mesut hawata tamba sana. Ni kwamba Argentina wana nidham sana. Kwa mtu aliyeangalia mechi ya German vs France atakubaliana na mimi Ujeruman ni wa kawaida tu ukikaza na kuziba mianya. Jana Brasil wameipa sifa za bure tu. Sijui Di Maria atakuwepo siku ya fainali au atakosa pia. Gemu ya leo ingeisha mapema kabisa angekuwepo Angel Di Maria, ule mpatano wake na Messi tumeumiss! Mascherano aendelee kukaza tu kwa wakina Hummels,Muller, Kroos na wengine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…