World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

.....noted wit thanks!

shukran kwa kushukuru.
Kwa kifupi mafanikio ya wachezaji watatu kwenye WC

Edson.

Akiwa na umri wa miaka 18, aliibeba brazil kuchukua kombe la dunia kwa mara ya kwanza mwaka 1958 alikuwa na umri wa mtoto wa kidato cha nne kwa TZ.
Akawabeba tena brazil wakachukua mwaka 1962.
Mwaka 1966 akalikosa.
Akawabeba tena brazil wakachukua ubingwa tena mwaka 1970.
Mara zote aliifikisha brazil at least robo fainali.

Diego.

Aliwabeba Argentina wakachukua WC mwaka 1986, waliwafunga german fainali.
Akawafikisha fainali mwaka 1990, walifungwa na german goli moja la penati, Andre Brehme alipiga hiyo penati.

Messi.

Hii ni mara ya tatu anashiriki, ana umri wa miaka 26, ameingia fainali ya kwanza ya WC mwaka huu 2014, hatujui kama Wajerumani watamwacha achukue.

Kuhusu Maradona kupigiwa kura awe mfalme wa soka duniani, zilikuwa ni hila kwa sababu Edson ni mweusi tiiiii, weupe mpaka kesho roho zinawauma lakini hakuna atakayefuta record za Edson, wapenda haki walitengua uteuzi wa Diego kwa kuhusisha madawa ya kuongeza nguvu.
Kampeni zipo tu kwenye michezo, media zinatumika kupaisha watu.
Wajerumani wamemrudisha Klose timu ya taifa ili avunje record ya kufunga magoli mengi kwenye WC, walikuwa wanamtengenezea nafasi za kufunga avunje rocord, ndio maana unaona hata goli lake alilowafunga Brazil mtoaji pasi alikuwa na uwezo wa kufunga wakampa yeye apige tena na tena.
Yote hiyo ni ili mtu wao ndiye awe ameweka record.
 
pongezi kwa wadutch wamepigana kwa kweli. bahati haikuwa kwao

kweli kabisa, sema forward yao imekuwa butu kwenye kufunga.
ngoja tusubiri tuone kwa wale "one mistake one goal"
 
No thank you!sitaki pressure kuna Enzo Peres na Lionel Messi watakuwa wakishika mpira moyo unakwenda mbio,nimeamua kuwa teamless

Hawana kitu hao kwa wajerumani. Ujerumani ni watu wa mikakati ingawa siwapendi. Walimsimamisha red hot Maradona itakuwa Messi.
 

asante mkuu.nimeisoma article yote.ni huzuni sana,kumbe watu weusi tulitumika kujenga taifa ambalo halituthamini.!!.sasa final nawashabikia wa-germany,though historically mataifa yote ambayo ni dominance ya wazungu hayakuwai kumtendea haki mtu mweusi.
 

Hawa jamaa wamejiweka weupe wenyewe,sijajua kama kweli weusi 150,000 waliobaki hakuna hata wa kukaa benchi
 
Hii team ya Ujerumani haina superstar kama ilivyo Brasil na Neymar au Argentina na Messi.

Haijaundwa around superstar mmoja tu. Halafu wako balanced vizuri.

Wana-epitomize vizuri sana concept ya team.

Yah, wewe ni mpenzi wa soka na sio mshabiki wa soka kwa sababu umeongea ukweli, ingawa upo upande wa argentina.
 
kweli kabisa, sema forward yao imekuwa butu kwenye kufunga.
ngoja tusubiri tuone kwa wale "one mistake one goal"

One mistake one goal imekuwa applicable kwa wachovu Brazil tu!

andate nakuonya mapema mkuu strikers kama Fred na Benard na Jo hawawezi msumbua Boateng na Hummels

Quality ya Messi;Di Maria;Aguero na Higuain individually wanaweza ifunga team yyt ile na muda wowote ule
 
Last edited by a moderator:

hiyo mechi german wanashinda ndani ya dakika 90.
 
Sijaona bado wapi defenders wale walio kalishwa na Ghana na Algeria waizuie Argentina!No way mkuu

So far german wamefungwa magoli manne, sijui wamefunga mangapi.
Argentina wamefungwa magoli mawili, sijui wamefunga mangapi.

German ana uwezo wa ku score at least mara tatu kwenye mechi na argentina, argentina ata score mara ngapi hiyo sifahamu.

Tusubiri tuone.
 
Huwez ukamsifia mtu mmoja ilihali ilifika hatua ya penalt,angekua amefunga goli pekee la kuivusha timu sawa,shukrani ziwaendee timu nzima ziada kwa wapigaji mikwaju wote kwa ufasisi mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…