World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13


Kaka hamna kitu pale. Brasil ilikuwa ni takataka. Niliangalia game ya Ghana na Ujeruman ulimi nje, wakaambulia draw ya 2-2! Sifa hizo unazowapa hawana. Niliangalia mechi na France walipata goli1 ambacho ni kitu cha kawaida. Uzembe wa Brasil usisababishe kuwapa vichwa Wajerumani ambapo si halali yao. Ninachoweza kusema Ujerumani ni wa kiwango sawa kabisa na Mexico, US, Colombia, Argentina, Uholanzi, Spain nk. Hii ya ushindi wa 1-7 haiwezi kuwa kipimo kikubwa. Ngoja wakutane na watu wenye nidham ya mpira utakumbuka maneno yangu. Germany ni.wa kawaida kabisa!
 

Mimi nitajitahidi tu kuuangalia huo mtanange but I fear for Brazil, the Dutch will wanna go out with a bang na sizani kama Brazil watakua washapona ile dhahma ya mkoloni
 
Last edited by a moderator:
Nimefurahi sana Uholanzi kupigwa maana roben alidanganya akapata penati wakafika hapo walipofika. Sasa wacha mkoloni ajibebee ndoo yake.
 
RTC kagera na Biashara Shinyanga hazijawahi kutwaa ubingwa wowote
 

Hata Cameroon tu hawawez kuacha nafasi.wazi vile: Muller, Kroos, Klose wanapiga mipira eneo la wazi.vile, nakuambia hamna, uzembe ule ni.Brasil pekee na wale wa kuremba akina Gerald Pique, ila watu walio committed hawawez kufanya uzembe mkubwa vile!
 

Hapa siongelei mchezaji mweusi au mweupe, naongelea nchi nzima, kumbuka hilo.

Hata Tanzania kuna ubaguzi, kuhusu ubaguzi wa Argentina ni uliovuka mipaka yote ya ubaguzi duniani. Umeshajiuliza watu weusi wa Argentina wako wapi? sasa ukipata jibu fananisha ubaguzi wa Ujerumani na Ubaguzi wa Argentina halafu uje na majibu.

Hitler alijaribu kuwamaliza Wayahudi wote Ujerumani, sasa jiulize vipi Argentina? wako wapi watu weusi. Ukipata jibu, njoo tujuze na sisi.
 
mbona timu yetu hakuna waarabu wala wahindi au sio wa tanzania wale ?

Siongelei timu naongelea nchi nzima.

Ya Tanzania tuyaache, siku tukiingia fainali za World cup tukumbushane.
 
nimeishi argentina kwa miezi 9 weusi wazawa kibao au unazungumzia manzese argentina?

Kibao? wako wapi mbona hatuwaoni? wanafanywa nini huko hata wasionekane? hii ndio kibao yako?

At the Argentine national census of 2010 the total population was 40,117,096,[SUP][1][/SUP] of whom 149,493[SUP][2][/SUP][SUP][3][/SUP] (0.37%) identified as Afro-Argentine.

Wewe uliwakuta wageni kama wewe ukadhani ni Waafrika wa Argentina.
 
Mi najiulizaga hivi mbana timu kama nigeria,cameroon na nyingine azichezeshagi wazungu ni kwamba africa amba wazungu waarabu ama wahindi wanaocheza mpira ama nao piia ni ubaguzi.?

Siongelei team naongelea kuhusu nchi nzima.
 
Siongelei team naongelea kuhusu nchi nzima.

sasa umepotea huku ni mpira tu
mfalme wao maradona ni africast tevez kipa aliedaka jana wazungu unawachukia waarabu unawapenda ilim ni hatari
 
Kila la heri Mkuu, naweza nikauangalia hapa na pale, lakini motivation ya kuangalia nani atakuwa mshindi wa tatu sijawahi kuwa nayo. Hakuna team inayoingia katika kombe la dunia ambayo inagombea ili wawe washindi watatu. Brazil labda wanaweza kujitutumua ili kurudisha heshima japo kidogo ambayo imepotea. Kama niko home na hakuna kitu cha kuvutia kwenye TV naweza kuangalia vinginevyo nitapotezea tu.

Mimi nitajitahidi tu kuuangalia huo mtanange but I fear for Brazil, the Dutch will wanna go out with a bang na sizani kama Brazil watakua washapona ile dhahma ya mkoloni
 

Mimi nitaangalia kwa sababu tu nataka nione kama Brasil watakuwa wamesha-recover.

Lakini nina hofu kuwa bado kwa sababu jinsi walivyo-choke siku ile imeshangaza kila mtu wakiwemo hata Wajerumani wenyewe!

Sidhani kama Brasil atashinda hiyo mechi kwa kweli....ingawa lolote lawezekana.
 
Kila la heri, ila kwa kesho kutwa sidhani kama watakuwa wamerecover. Wangekipiga tena na Wajerumani πŸ™‚πŸ™‚ ili kuona kama wamerecover nina uhakika kwa jinsi defence yao iilivyo mbovu wangeweza kupigwa 7 nyingine au hata zaidi πŸ™‚πŸ™‚

 
Niite vyovyote just naipenda German ndipo niliposoma na kukulia I love German




Kichaaa kishakupanda mbwa ww


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
sasa umepotea huku ni mpira tu
mfalme wao maradona ni africast tevez kipa aliedaka jana wazungu unawachukia waarabu unawapenda ilim ni hatari

At the Argentine national census of 2010 the total population was 40,117,096,[SUP][1][/SUP] of whom 149,493[SUP][2][/SUP][SUP][3][/SUP] (0.37%) identified as Afro-Argentine.

Umeshajiuliza waliwafanya nini babu zako na wajomba zako huko?
 

Defense yao ni mbovu lakini sidhani kama wanaweza kuwa wabovu zaidi ya walivyoonyesha Jumanne.

Jumanne was one of a kind bana. Na hata wakicheza tena na Ujerumani sidhani kama score itafanana na ya Jumanne.

Gemu ya juzi comes along only once in a long generation. Khaaaaaa!!!!
 
Yule Thiago Silva ambaye hakucheza juzi atakuwepo hivyo atapunguza uvujaji wa defence yao. Sijui kama goalie wao baada ya kutundikwa 7 juzi atakuwa tayari kulinda nyavu au atamuachia msaidizi wake.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…