World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kuna kina sisi ambao toka game 1 ya Brazil tulilalamika kuhusu kiwango chao kibovu na kubebwa na marefa, kwenye mechi kama ya Vs Colombia tuliiona Brazil inayocheza kama Stoke City na mimi binafsi niliambiwa nina chuki binafsi na Brazil kwa kukosoa mchezo wao mbovu kama rugby
Brazil ilikua mbovu kutokana na mambo mengi, kuanzia selection of players, mfumo waliocheza uwanjani, kocha ambaye anaonekana kuishiwa mbinu kila uchao, team kumtegemea sana Neymar na kuongozwa sana na emotions kuliko professionalism
Sijawahi kuona team so emotional kama Brazil hii, walikua wanalia sana wakivuka round, wakiimba wimbo wa Taifa mpaka wakongwe wao waliwakosoa hasa captain wa team na juzi kwenye mechi na Ujerumani nilishangaa kuona mpaka kocha anaingia uwanjani kavaa kofia imeandikwa "forca Neymar" na kabla ya hapo walishaita psychologist awasaidie vijana kuhusiana ana suala la Neymar, real? Halafu kabla ya mechi wakaingia na jezi ya Neymar utafikiri dogo labla kafa au kapata ulemavu wa maisha, na kocha wao aliruhusu hili bila kujua soka ni mchezo wa watu 11, this was lack of professionalism and they got punished for it
Pamoja na hayo watu hawataki to acknowledge that the Germans were far more superior than any Brazilian on the pitch, goal la kwanza la Muller unalosema aliachwa free mapundits/wachezaji wastaafu wanakwambia ile move ilitengenezwa kwenye training ground, Luiz alikua blocked na Klose ndio Muller akapata nafasi ya kufunga hakuna bahati wala magic ni ufundi tu, kama huamini tafuta replays
Goal la pili ni uzembe wa Marcelo kwa kiasi kikubwa, na baada ya hapo Wajerumani kwa sababu ni top professionals walisense jamaa wanaanza kucrack na wakaitumia nafasi hiyo vyema kumaliza mpira kabla hata ya half time, waliwapress Brazil high up on the pitch kupata hizo goli tatu, hakuna easy goal scoring hapo, kama ni hivyo kwanini team zote zilizocheza na Brazil mpaka juzi zilishindwa kufanya alichokifanya mkoloni?
Kwa kumalizia ili kujua Wajerumani walikua top professionals juzi, Mats Hummels anakwambia wakiwa mapumziko walikubaliana not to humiliate the Brazilians in their own WC na hujasikia mchezaji wa Ujerumani akisema ile ilikua revenge ya 2002 or whatsoever lakini unasikia kina Muller wakisema Brazil hawakustahili kipigo kizito kile tena wakiwa nyumbani kwao.

Kaka hamna kitu pale. Brasil ilikuwa ni takataka. Niliangalia game ya Ghana na Ujeruman ulimi nje, wakaambulia draw ya 2-2! Sifa hizo unazowapa hawana. Niliangalia mechi na France walipata goli1 ambacho ni kitu cha kawaida. Uzembe wa Brasil usisababishe kuwapa vichwa Wajerumani ambapo si halali yao. Ninachoweza kusema Ujerumani ni wa kiwango sawa kabisa na Mexico, US, Colombia, Argentina, Uholanzi, Spain nk. Hii ya ushindi wa 1-7 haiwezi kuwa kipimo kikubwa. Ngoja wakutane na watu wenye nidham ya mpira utakumbuka maneno yangu. Germany ni.wa kawaida kabisa!
 
Uzuri wa everlenk anafarijika kirahisi kabisa 🙂🙂 hana makuu ya kununa mwezi mzima au miezi lol!!!! Hivi Wakuu mna motisha kweli wa kuangalia game ya kutafuta mshindi wa tatu? Hii game kusema kweli mie huwa inanitia uvivu sana kuiangalia sijawahi kuiangalia game yoyote ile ya mashindano ya kombe la dunia ya kutafuta mshindi wa tatu, hata hii ya Jumamosi motisha hakuna kabisa

Mimi nitajitahidi tu kuuangalia huo mtanange but I fear for Brazil, the Dutch will wanna go out with a bang na sizani kama Brazil watakua washapona ile dhahma ya mkoloni
 
Last edited by a moderator:
Nimefurahi sana Uholanzi kupigwa maana roben alidanganya akapata penati wakafika hapo walipofika. Sasa wacha mkoloni ajibebee ndoo yake.
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 10 ya ulichoandika hapo...hususan kwenye suala la Neymar.

Haikutakiwa wamchezee Neymar. Walitakiwa wachezee taifa lao.

Kuhusu Mueller....that was stupid to leave him open like when they could have put someone on him at least to contest for the ball.

He was left wide open.....who does that?

Hata Cameroon tu hawawez kuacha nafasi.wazi vile: Muller, Kroos, Klose wanapiga mipira eneo la wazi.vile, nakuambia hamna, uzembe ule ni.Brasil pekee na wale wa kuremba akina Gerald Pique, ila watu walio committed hawawez kufanya uzembe mkubwa vile!
 
Watoto wa papa wana baraka zote kutoka kwa Mungu lazima washinde,utake usitake kama roho inauma kwa kutofanikiwa ktk hisia zako kunywa wembe ufe,mi nashangaa mijitu mingine unadhan kuwa na wachezaj weus ndo kutokua na ubaguz,me nimekaa german hakuna watu wabaguz kama wajerman.

Hapa siongelei mchezaji mweusi au mweupe, naongelea nchi nzima, kumbuka hilo.

Hata Tanzania kuna ubaguzi, kuhusu ubaguzi wa Argentina ni uliovuka mipaka yote ya ubaguzi duniani. Umeshajiuliza watu weusi wa Argentina wako wapi? sasa ukipata jibu fananisha ubaguzi wa Ujerumani na Ubaguzi wa Argentina halafu uje na majibu.

Hitler alijaribu kuwamaliza Wayahudi wote Ujerumani, sasa jiulize vipi Argentina? wako wapi watu weusi. Ukipata jibu, njoo tujuze na sisi.
 
mbona timu yetu hakuna waarabu wala wahindi au sio wa tanzania wale ?

Siongelei timu naongelea nchi nzima.

Ya Tanzania tuyaache, siku tukiingia fainali za World cup tukumbushane.
 
nimeishi argentina kwa miezi 9 weusi wazawa kibao au unazungumzia manzese argentina?

Kibao? wako wapi mbona hatuwaoni? wanafanywa nini huko hata wasionekane? hii ndio kibao yako?

At the Argentine national census of 2010 the total population was 40,117,096,[SUP][1][/SUP] of whom 149,493[SUP][2][/SUP][SUP][3][/SUP] (0.37%) identified as Afro-Argentine.

Wewe uliwakuta wageni kama wewe ukadhani ni Waafrika wa Argentina.
 
Mi najiulizaga hivi mbana timu kama nigeria,cameroon na nyingine azichezeshagi wazungu ni kwamba africa amba wazungu waarabu ama wahindi wanaocheza mpira ama nao piia ni ubaguzi.?

Siongelei team naongelea kuhusu nchi nzima.
 
Siongelei team naongelea kuhusu nchi nzima.

sasa umepotea huku ni mpira tu
mfalme wao maradona ni africast tevez kipa aliedaka jana wazungu unawachukia waarabu unawapenda ilim ni hatari
 
Kila la heri Mkuu, naweza nikauangalia hapa na pale, lakini motivation ya kuangalia nani atakuwa mshindi wa tatu sijawahi kuwa nayo. Hakuna team inayoingia katika kombe la dunia ambayo inagombea ili wawe washindi watatu. Brazil labda wanaweza kujitutumua ili kurudisha heshima japo kidogo ambayo imepotea. Kama niko home na hakuna kitu cha kuvutia kwenye TV naweza kuangalia vinginevyo nitapotezea tu.

Mimi nitajitahidi tu kuuangalia huo mtanange but I fear for Brazil, the Dutch will wanna go out with a bang na sizani kama Brazil watakua washapona ile dhahma ya mkoloni
 
Uzuri wa everlenk anafarijika kirahisi kabisa 🙂🙂 hana makuu ya kununa mwezi mzima au miezi lol!!!! Hivi Wakuu mna motisha kweli wa kuangalia game ya kutafuta mshindi wa tatu? Hii game kusema kweli mie huwa inanitia uvivu sana kuiangalia sijawahi kuiangalia game yoyote ile ya mashindano ya kombe la dunia ya kutafuta mshindi wa tatu, hata hii ya Jumamosi motisha hakuna kabisa

Mimi nitaangalia kwa sababu tu nataka nione kama Brasil watakuwa wamesha-recover.

Lakini nina hofu kuwa bado kwa sababu jinsi walivyo-choke siku ile imeshangaza kila mtu wakiwemo hata Wajerumani wenyewe!

Sidhani kama Brasil atashinda hiyo mechi kwa kweli....ingawa lolote lawezekana.
 
Kila la heri, ila kwa kesho kutwa sidhani kama watakuwa wamerecover. Wangekipiga tena na Wajerumani 🙂🙂 ili kuona kama wamerecover nina uhakika kwa jinsi defence yao iilivyo mbovu wangeweza kupigwa 7 nyingine au hata zaidi 🙂🙂

Mimi nitaangalia kwa sababu tu nataka nione kama Brasil watakuwa wamesha-recover.

Lakini nina hofu kuwa bado kwa sababu jinsi walivyo-choke siku ile imeshangaza kila mtu wakiwemo hata Wajerumani wenyewe!

Sidhani kama Brasil atashinda hiyo mechi kwa kweli....ingawa lolote lawezekana.
 
Hapa siongelei mchezaji mweusi au mweupe, naongelea nchi nzima, kumbuka hilo.

Hata Tanzania kuna ubaguzi, kuhusu ubaguzi wa Argentina ni uliovuka mipaka yote ya ubaguzi duniani. Umeshajiuliza watu weusi wa Argentina wako wapi? sasa ukipata jibu fananisha ubaguzi wa Ujerumani na Ubaguzi wa Argentina halafu uje na majibu.

Hitler alijaribu kuwamaliza Wayahudi wote Ujerumani, sasa jiulize vipi Argentina? wako wapi watu weusi. Ukipata jibu, njoo tujuze na sisi.
Niite vyovyote just naipenda German ndipo niliposoma na kukulia I love German

Kichaaa kishakupanda mbwa ww

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
sasa umepotea huku ni mpira tu
mfalme wao maradona ni africast tevez kipa aliedaka jana wazungu unawachukia waarabu unawapenda ilim ni hatari

At the Argentine national census of 2010 the total population was 40,117,096,[SUP][1][/SUP] of whom 149,493[SUP][2][/SUP][SUP][3][/SUP] (0.37%) identified as Afro-Argentine.

Umeshajiuliza waliwafanya nini babu zako na wajomba zako huko?
 
Kila la heri, ila kwa kesho kutwa sidhani kama watakuwa wamerecover. Wangekipiga tena na Wajerumani 🙂🙂 ili kuona kama wamerecover nina uhakika kwa jinsi defence yao iilivyo mbovu wangeweza kupigwa 7 nyingine au hata zaidi 🙂🙂

Defense yao ni mbovu lakini sidhani kama wanaweza kuwa wabovu zaidi ya walivyoonyesha Jumanne.

Jumanne was one of a kind bana. Na hata wakicheza tena na Ujerumani sidhani kama score itafanana na ya Jumanne.

Gemu ya juzi comes along only once in a long generation. Khaaaaaa!!!!
 
Yule Thiago Silva ambaye hakucheza juzi atakuwepo hivyo atapunguza uvujaji wa defence yao. Sijui kama goalie wao baada ya kutundikwa 7 juzi atakuwa tayari kulinda nyavu au atamuachia msaidizi wake.

Back
Top Bottom