World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13


Brasil walifungwa vile kwa sababu walisalimu amri mapema mno na wakaacha kucheza.

Na Jumapili hakutakuwa na bonanza ya magoli kama ilivyokuwa kwenye hiyo nusu fainali.
 

Ni vigumu sana kwa shabiki wa Brazil kuishangilia Argentina kama ilivyo vigumu kwa shabiki wa Yanga kuishabikia Simba; hata hivyo zipo nyakati ambapo mashabiki wa Yanga waliishangilia Simba na zipo nyakati mashabiki wa Simba waliishangilia Yanga. Vivyo hivyo kwa kile Wajerumani walichowafanyia Wabrazil hakuna shaka hao Wabrazil wataishagilia Argentina, Mbrazil wa kwanza kuishagilia Argentina ni Neymar Jr, kong'oli hapa ujionee mwenyewe anachotaka kitokee:

http://www.fifa.com/worldcup/2403349.html
 

Hapa hatutaweza kufikia muafaka ila naona mnaandaa mazingira ya kujifariji siku ya jumapili baada ya kutandikwa bakora na mkoloni, huo unaouita ushindi wa tia maji tia maji kwanini wengine walishindwa kuupata?
Kazi ya kumtandika Argentina inazidi kuwa nyepesi kila siku, soma hii

Lionel Messi is underperforming at the World Cup because he is so tired, according to his father Jorge.

“He is exhausted and feels as if his legs weigh 100 kilos each,” said Messi Sr.

His words will not reassure Argentina fans who will be hoping for a dazzling display from their talismanic playmaker in Sunday's World Cup final against Germany.
 
Brazil hawawez kupata hata mshindi wa tatu

Mi nadhani wataupata huo. Wana usongo walau wa kuyamaliza mashindano on a high note.

Wadachi hawana motivation yoyote na hiyo mechi kwa sababu haina maana yoyote kwao.

Sitegemei nyota wao wacheze.
 
KOMBE LA DUNIA 2014: Nyota wa Brazil Neymar amemtaka Lionel Messi kuiongoza Argentina kuifunga Ujerumani katika mchezo wa fainali Jumapili na kutwaa ubingwa.
 
KOMBE LA DUNIA 2014: Nyota wa Brazil Neymar amemtaka Lionel Messi kuiongoza Argentina kuifunga Ujerumani katika mchezo wa fainali Jumapili na kutwaa ubingwa.

Achana nae huyo, hata kuku humuombeaga mwewe majanga!!
 
Nadhani Brazil wana kinyongo na Ujeruman kipigo cha goli 7 si mchezo lazima mtu upate wazimu.
 
Argentina ndo bingwa wa kombe la dunia 2014


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
hapo tuwaachie wenyewe ndo wanajua nani ataibuka kidedea na kinara wa world cup


cc: Ntuzu, Bujibuji
 
Last edited by a moderator:
i wish Argentina to grab this cup, but over Germany is impossible to possibolise..... jah ah a
 
Hata Neymar angekuwepo hakuna kitu sanasana angeambulia kadi nyekundu huyo bishororo wa Sao Paulo
 
Messi will grab this statuette and prove the world that he's the best athlet of all time...
 
Hata Neymar angekuwepo hakuna kitu sanasana angeambulia kadi nyekundu huyo bishororo wa Sao Paulo

Walishindwa si kwa sababu Neymar hakuwepo.

Walishindwa kwa sababu waliacha kucheza mpira na wakawa wanarukaruka tu.

Hakuna timu inayoweza kushinda ikicheza kama ilivyocheza Brasil siku ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…