Mkuu ebu nikumbushe nyakati za mimi msimbazi kushangilia "yeboyebo"......hakuna kitu km hicho,na subirikesho akitandikwa Argentina kutakuwa na samba nchi nzima Brazil....kiasi watasahau 7-1
Saa 4 usiku kwa saa za Dar
Saa 4 usiku kwa saa za Dar
Asante mkuu.
Kwa mujibu wa ratiba toka Brazil muda wa mechi ya Brazil na Holand inaanza saa 5 kamili usiku kwa saa za Afrika ya Mashariki ikiwemo na Tanzania hususani mkoa wa Dar es Salaam.
Mimi leo team Holland,no 3 kati ya 32 si haba!
Nasikia leo wanacheza na Brazil...
niwasalimuni wote hapa jukwaani. Sijui leo nishabikie timu gani.. naomba nichagulieni tafadhali
haa haa ntakushangaa sana ukishabikia ile timu iliyopigwa kitu cha wiki...karibu holland