Robben anastahili uchezaji bora wa mashindano ingawa FIFA wanaweza kumpa Messi(atakuwa kapendelewa) kama Argentina wakichukua.
Nawe pia,tukutane kesho,ili tuimbe we are the champions,ingawa sita timu,hiyo hiyo itakayoshinda nitafurahi nayoWadau niwatakie usiku mwema,mlale unono wote,kwa wakristo msisahau kwenda kanisani asubuhi,kwa waislam muendelee na ibada njema ya funga.
nikalale tu hakuna jipya najilaumu why did I wake up ningeendelea na usingizi wangu.
hongera Netherland ....
Brazil niko disappointed nao.
Acha kutokwa na mapovu kwanza,Ukiondoa Kuyt,Roben,RVP,DeJong most of Dutch players haya ndio mashindano yao ya kwanza wengi hata Euro 2012 hawakuwepo wengi wao walikuwa hawajafikisha hata mechi 20 kwenye za kimataifa.Kwakuwa Arsenal wamezoea kufungwa 4,5,6,8 so unaona ni sawa hata Brazil kufungwa goli 10 mechi 2 ni sawa
Belo yupo Sahihi,ukiondoa kuyt,RVp,Robben,Sneidner waliobaki wengi ni kama chipukizi . wasingeweza kupata wala kufikiriwa kwa Holland ya 1996-2002.In fact hata hao niliowata labda wasingeweka mguu katika Holland ya miaka hiyo.
Nyie Manure hamtupi shida hata hamfahamu maana ya chipukizi. Mbwa ukimjua jina wala hakusumbui hata mlipompa timu MoNo mlisema hivyo hivyo chacha nyege yenu ipo kwa van Gaffe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
ila wadau van persie anamatege mazuri hadi raha
Umeona eeeh wako too weak bora taifa stars
nimeacha kuangalia movie zangu za katuni kisa wao afu wanafungwa aaargh
Kwa hiyo mkuu unakataa kuwa sisi Africans kwenye soka sio kama tu wanyama mwitu?
Hilo nalikataa kata kata. Tuna matatizo ndiyo lakini kamwe hilo la kuwa kama wanyama mwitu siliafiki kabisa. Kwanini unapenda kujidhalilisha Mkuu?
Okay kesho ndio kesho asemae keshokutwa muongo. Tukutane SAA ya tukio. #teamargentina #teammessi
Unakumbuka nafasi aliyo ipoteza Jordan Ayew na Germany?Angetoa ile pasi Ghana angeongoza 3-1 na mchezo ungeishia hapo na Ghana angeingia round ya pili!!
Unakumbuka vioja vya akina Yaya walipocheza na Greece?Na kikubwa zaidi unakumbuka Cameroon walipo chapana wao kwa wao siku wamecheza na Croatia?
Sasa kama wanapigana hadi ngumi wao kwa wao kwa nn wasichukue sifa ya kuitwa WANYAMA MWITU?Je huamini sample ndogo inaweza beba taswira ya bara zima?