Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,833
- 11,173
Robben anastahili uchezaji bora wa mashindano ingawa FIFA wanaweza kumpa Messi(atakuwa kapendelewa) kama Argentina wakichukua.
Sio kama anachukua bali atachukua!!Messi kesho napiga bao na kutangazwa mchezaji bora hata ww huwezi lalamika