Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
hali ni tete
game ni ngumu honestly
Team German mpoo?kikombe mi chetu wanatuchelewesha tu
Ha ha ha ahaaah.....mbona mbali shemeji?saa 4 asubuhi karibu hivyooo
Gemu ya leo midadi imekuwa mingi kuliko kushangilia
Sasa likifungwa goal kuna watu fahamu zao zitahama
mesi ni noumer
Mmh! Hilo ni kweli! Ukiona huninioni charge imeisha! Sawa?
hahahahaha,BP inapanda nini?Mmh! Hilo ni kweli! Ukiona huninioni charge imeisha! Sawa?
Ha ha ha ahaaah.....mbona mbali shemeji?