World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Gemu ya leo midadi imekuwa mingi kuliko kushangilia
Sasa likifungwa goal kuna watu fahamu zao zitahama
 
Iiwa haka katimu ka bibi Angela kananyanyaswa hivi wakati eti kamemchapa brazil 7...sijui hawa argentina wangemchaapa brazil ngapi?
 
Hii fainali ni ya ukweli yaani timu zote ziko vzr japo Germany ushindi uko pale pale
 
Wajerumani wanakosea kucheza mipira mingi upande wa Zabaleta.. kuko imara mno
 
Back
Top Bottom