World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Haya Yaya Toure alikuwa anadai hapewi heshima sababu anatoka Afrika. Afanye vitu vya ajabu awaonyeshe watu jinsi anavyostahiki heshima.
NB-Nilikuwa namsapoti kwa hilo hata hivyo muda umefika aonyeshe uwezo wake.
 
Vijapan vimetumwa kucheza kombe la dunia, hawajaenda kutalii Brazil. Hao wauza sura IC wamesharidhika miaka yote huenda na kutolewa hela wameshachukua wana wasiwasi gani.
Wachezaji wa africa hawana Uzalendo kabisa.
 
Huo uwanja ingekuwa sio hizo Kelele za ngoma wenginwangeamshwa mpira ukiisha kwenye viti boring game.
 
Umeonaee alipaa sana ile aliyofunga kwa kichwa hata angevunjika kidevu mtoto wa watu. Waafrika lazima tuna matatizo fulani na tunapenda kujituma tukiwa na wazungu.
Utaona mwenyewe hawa Japan watakavyofungwa wakikutana na Greece au Colombia
 
Haya Yaya Toure alikuwa anadai hapewi heshima sababu anatoka Afrika. Afanye vitu vya ajabu awaonyeshe watu jinsi anavyostahiki heshima.
NB-Nilikuwa namsapoti kwa hilo hata hivyo muda umefika aonyeshe uwezo wake.
Huyo hana lolote.
 
aiseee hiii game drogba nimhim sana naona wanakosa magori ya wazi kabisa wanapiga vichwa kama wanaangua nazi
 
Huyu Mjapan aliyeingia mtangazaji anasema style yake ya kucheza kama ya Pirlo, ngoja tuangalie mapande atakayokuwa anatoa
 
Huyu Kocha vipi mda unaenda hamwingizi Drogba???????why???v
 
Yaya anajitahidi ila ndio hivyo, bundi yupo upande wetu.
ZAOKORA yellow card.
 
Sasa hawa wenzetu badala ya kupinda mgongo wanajitupatupa.
 
aiseee hiii game drogba nimhim sana naona wanakosa magori ya wazi kabisa wanapiga vichwa kama wanaangua nazi
Mkuu LEGE ,Drogba si lolote mbele ya wajaPan.
 
Last edited by a moderator:
Ivory Coast wataendelea kuwa nyuma ya Nigeria, Ghana na Cameroon. Wana vipaji lakini ubitozi umewazidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…