Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachezaji wa africa hawana Uzalendo kabisa.Vijapan vimetumwa kucheza kombe la dunia, hawajaenda kutalii Brazil. Hao wauza sura IC wamesharidhika miaka yote huenda na kutolewa hela wameshachukua wana wasiwasi gani.
Mkuu mziki gani? Labda ushirikina.
Utaona mwenyewe hawa Japan watakavyofungwa wakikutana na Greece au ColombiaUmeonaee alipaa sana ile aliyofunga kwa kichwa hata angevunjika kidevu mtoto wa watu. Waafrika lazima tuna matatizo fulani na tunapenda kujituma tukiwa na wazungu.
Huyo hana lolote.Haya Yaya Toure alikuwa anadai hapewi heshima sababu anatoka Afrika. Afanye vitu vya ajabu awaonyeshe watu jinsi anavyostahiki heshima.
NB-Nilikuwa namsapoti kwa hilo hata hivyo muda umefika aonyeshe uwezo wake.
Hawezi kufunga huwa hawajitumiDrogba akiiingia akifunga atavyotingisha zile kalikiti zake .....
Huyo hana lolote.