Nipo pamoja na Bantu lady ushindi leo lazima kwa switzerland.
Furaha kwako smile tunaiona japo unajifanya kuificha kijanja.Mtani atapumua sasa....nimekasirikaaaaje!!
Mtani atapumua sasa....nimekasirikaaaaje!!
Furaha kwako smile tunaiona japo unajifanya kuificha kijanja.
Mtani meno yote nje saa hii.Mtani atapumua sasa....nimekasirikaaaaje!!
Mtani mechi ngumu sana.Umeonaee sasa hii ndio Uswiss na goli zuri sana.
Mtani meno yote nje saa hii.
Hila mpira mgumu sana, timu ya mtani imefufuka da
Hahaha Vijana wa Arabica na robusta wana hatarisha amani ya mtani hapa...Hahahaaha....nimeamua kuvuta ka wine tu nipunguze tension.
Ni kweli mkuu ila nahisi mwaka huu ni mwaka wa. Africa kuvunja record yetu ya kuishia robo fainal, Mungu saidia dalili ziko wazi.!!. 1-1 Ghana ndio timu pekeee Africa Wenye Nguvu na kutumia akili na kucheza football na Group ndio gumu limeitwa gumu sababu wao pia wagumu ikishinda Ghana Mbele it aendelea vizuri.
Umeonaee sasa hii ndio Uswiss na goli zuri sana.
Mtani meno yote nje saa hii.
Hila mpira mgumu sana, timu ya mtani imefufuka da
Hahaha daaa hata mimi i wish hivyo lakini naona match inaweza kuwa draw ya kwanza toka mashindano yaanze.Isijekuwa ni sizitaki mbichi hizi!!! How I wish hilo goli lingekuwa la Ecuador
Nipo pamoja na Bantu lady ushindi leo lazima kwa switzerland.
Daaah hii goli hiii .....aagh naona Switzerland wameamka
Hahaha Vijana wa Arabica na robusta wana hatarisha amani ya mtani hapa...
Hakuna draw hapa ushindi kwa Switzerland.....Hahaha daaa hata mimi i wish hivyo lakini naona match inaweza kuwa draw ya kwanza toka mashindano yaanze.
Daaa vijana wa mtani wana koa koswa sana
Daa hatariKwi kwi kwi yaani Kama namuona vilee
Aagh too bad Ecuador wamekosa goli
Ni kweli mkuu ila nahisi mwaka huu ni mwaka wa. Africa kuvunja record yetu ya kuishia robo fainal, Mungu saidia dalili ziko wazi.!!