World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mtani meno yote nje saa hii.
Hila mpira mgumu sana, timu ya mtani imefufuka da

Mimi mwenzako timu nayoshangilia kwa mkopo ikifungwa still nakuwa hapa. Ila wewe unatoweka kabisa, si vizuri hivyo ujue, tunahisi umezimia huko kama jana.
 
. 1-1 Ghana ndio timu pekeee Africa Wenye Nguvu na kutumia akili na kucheza football na Group ndio gumu limeitwa gumu sababu wao pia wagumu ikishinda Ghana Mbele it aendelea vizuri.
Ni kweli mkuu ila nahisi mwaka huu ni mwaka wa. Africa kuvunja record yetu ya kuishia robo fainal, Mungu saidia dalili ziko wazi.!!
 
Isijekuwa ni sizitaki mbichi hizi!!! How I wish hilo goli lingekuwa la Ecuador
Hahaha daaa hata mimi i wish hivyo lakini naona match inaweza kuwa draw ya kwanza toka mashindano yaanze.

Daaa vijana wa mtani wana koa koswa sana
 
Back
Top Bottom