ubaguzi tu nataka kuendekeza Hondorus wote weusi jamani tuwe na Hondorus Ndugu zetu wengi kushinda ufaransa tehtehteh tuendelee kujidanganya France anashinda 3-1 sijui Bantu lady anasema je?Hahahaaah,,,,,,,na wewe kwa kujitafutia presha....!!
Chunga mali za kaka yako..fisi wengi..lol..
Ahsante mtani mimi huwa sikurupuki kushangilia timu, aitakagi presha kabisa lazima nijue historia ya timu kwanza.
#teamswitzerland #
poleni #teamEcuador # hivi mlisema ni ndugu zenu eeh??
Daa wamenikera sana yani wana shindwa kuzuia dakika tatuuuNaunga mkono hoja yani walibweteka kabisa....umaliziaji wa kizembe...aagh nijitundike drip mie..wamenichosha
Hahahaa...mali zako zipo salama kuwa na amani
Huenda una trojan programs katika computer yako. Ku-scan computer pekee haitoshi kama una trojan. Jaribu kutumia kaspersky anti-virus ambayo itakusaidia ku-block hizo programs au format computer yako na urudie ku-install programs upya.
Asante uswisi pesa yangu ya bet mmeitetea
. Najaribu kupingana na wewe ila naishindwa dah wanapoteza nafasi muda sio grrrrrrrrr!!!
Team Honduras tujuane
Haya jamaa ni ya kuchapa viboko.EQ wapumbavu sana. Ni wachezaji wajinga wajinga mno....
Daa wamenikera sana yani wana shindwa kuzuia dakika tatuuu
Hawana tofauti na Taifa stars.