World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hahahaaah,,,,,,,na wewe kwa kujitafutia presha....!!
ubaguzi tu nataka kuendekeza Hondorus wote weusi jamani tuwe na Hondorus Ndugu zetu wengi kushinda ufaransa tehtehteh tuendelee kujidanganya France anashinda 3-1 sijui Bantu lady anasema je?
 
Naunga mkono hoja yani walibweteka kabisa....umaliziaji wa kizembe...aagh nijitundike drip mie..wamenichosha
Daa wamenikera sana yani wana shindwa kuzuia dakika tatuuu
Hawana tofauti na Taifa stars.
 
Huenda una trojan programs katika computer yako. Ku-scan computer pekee haitoshi kama una trojan. Jaribu kutumia kaspersky anti-virus ambayo itakusaidia ku-block hizo programs au format computer yako na urudie ku-install programs upya.

Hahahahahaahaa.
 
BqFMJrMIgAAXEms.png
 
. Najaribu kupingana na wewe ila naishindwa dah wanapoteza nafasi muda sio grrrrrrrrr!!!


Mkuu Pazi

Walipata nafasi kumaliza, mfungaji badala ya kuchangamkia chance anajigongagonga-yaani hakujuwa kwanini yupo

pale kama foward
kazi yake kutupia mpira nyavuni. yeye kabaki anautazama, watu (waswis) wakauchukuwa

nakuwafikia wanaofahamu kazi zao katika nafasi zao wakatupia nyavuni.
 
Honduras XI vs France: Valladares, Izaguirre, Figueroa, Bernardez, Beckeles, Palacios, Garrido, Espinoza, Chavez, Bengtson, Costly
 
Back
Top Bottom