World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Huyu refa huyu, Famba kinoma. faulo za brasil anapeta wakifanyiwa faulo anapuliza.
 

In the eighth minute, the entire stadium is shocked when Croatia take the lead. Brazil's defender Marcelo could do little but turn the teasing low cross into his own net


In the 28th minute, Neymar lets fly from the edge of the D ... his shot is tame but its superbly placed and goes into the net off the base of the far post
 
Croatia wagumu sana.sijui wakisikia neno "world cup" huwa wanapandwa na nini kichwani!
 
Brazil watapata wakati mgumu wakikutana na wakabaji na wakimbiaji
 
Timu yao ni nzuri kwa miaka mingi tu, na wacheza wao wengi wanachezea timu maarufu katika nchi mbali mbali duniani.

Croatia wagumu sana.sijui wakisikia neno "world cup" huwa wanapandwa na nini kichwani!
 
Itakuwa vigumu kwa Cameroon kusonga mbele toka hili group kama Croatia wakiendelea kucheza kama hivi mechi 2 zilizobaki.
 
Coach's challenge kama kwenye American football.

Call kama hiyo ingekuwa kwenye NFL lazima kocha angerusha kitambaa chekundu.

Soka bado iko nyuma sana.

apparently ni kwamba sheria nyingi zitapunguza utamu!

Ila idea ya kuchora temporary white line ili wachezaji wasivuke ukuta wakati wa free kick ni nzuri. aliyekuja nayo anastahili hela!
 
Crotia wanarukaruka tu..brazil wana beba tu,game inaboa kichiz hawa crotia wangekutana na ujerumani ambae ndo bingwa mpya wa hii michuana ilioanza leo wangekula mvua ya magol..
 
Huyu Ref anawaweza sana anakimbia huyo.
Kweli Neymar anapendwa sana
 
. Haupo nyuma kimaendeleo vitu vengine tukivileta kwenye mpira wa miguu kutakuwa hakuna mpira wamiguu sasa itakuwa stop and play mwisho tutachoka kutizama vipo vitu vinafaa Kama goalline.

Hakuna ubaya wowote ule, kwa mfano, kwenye kutoa uamuzi wa penati kukiwa na 'confirmation review' ya uamuzi wa kutoa penati ili kuhakiki kama imetolewa kihalali.

Kufanya jambo kama hilo hakutafanya mchezo uwe stop and play kama unavyodai. Ni mara ngapi katika michezo ya soka penati hutolewa?

Oh well, kama wewe unaona kuhakikisha kama penati zinazotolewa ndani ya regulation ni kutaleta mambo ya stop and play, sawa. Ila sikubaliani kabisa na hiyo hoja yako dhaifu.

Goal line tech yenyewe imechukua miaka na wakati wengine tulipokuwa tunaililia watu walikuja na vihoja vyao dhaifu kama hicho chako lakini leo wanaikubali!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Amazing.
 
Brazil weupe sana, refa kawabeba leo, wakikutana na ngoma ngumu watabaki watazamaji tu.
 
Penati 50,50..jamaa kavuta mabega halafu kamuachia akose balance.refa ana akili huyu,mpaka uwe mchunguzi sana ndio utagundua ile ni penati.
Kinachosaidia ni zile camera
 
naona kokosi kinabadili sasa hivi chelsea vs croatia
 
apparently ni kwamba sheria nyingi zitapunguza utamu!

Ila idea ya kuchora temporary white line ili wachezaji wasivuke ukuta wakati wa free kick ni nzuri. aliyekuja nayo anastahili hela!

Hivi, kwenye mechi za soka ndani ya regulation marefa huwa wanatoa penati ngapi? 10? 20? 50?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…