Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Croatia wagumu sana.sijui wakisikia neno "world cup" huwa wanapandwa na nini kichwani!
Coach's challenge kama kwenye American football.
Call kama hiyo ingekuwa kwenye NFL lazima kocha angerusha kitambaa chekundu.
Soka bado iko nyuma sana.
Hawa Brazil wenu hawa, siku wakikutana na wauni mutawakataa hawa.
. Haupo nyuma kimaendeleo vitu vengine tukivileta kwenye mpira wa miguu kutakuwa hakuna mpira wamiguu sasa itakuwa stop and play mwisho tutachoka kutizama vipo vitu vinafaa Kama goalline.
Kinachosaidia ni zile cameraPenati 50,50..jamaa kavuta mabega halafu kamuachia akose balance.refa ana akili huyu,mpaka uwe mchunguzi sana ndio utagundua ile ni penati.
apparently ni kwamba sheria nyingi zitapunguza utamu!
Ila idea ya kuchora temporary white line ili wachezaji wasivuke ukuta wakati wa free kick ni nzuri. aliyekuja nayo anastahili hela!